Pangani FM
Pangani FM
23 October 2024, 6:06 pm

Juhudi shirikishi na endelevu za serikali na wadau kwa wananchi zilivyoleta tija katika kudhibiti uvunaji haramu wa miti ya mbao na mazao mengine ya misitu katika ushoroba wa Amani-Nilo.
Kufahamu undani wa hayo na mengine mengi ungana naye mtayarishaji na mtangazaji Hamisi Makungu Hamisi wa Pangani FM Radio.