Pangani FM

Pangani kuendesha shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi kisasa

15 October 2024, 8:31 am

Picha kwa hisani ya mitandao

Zamani nilikuwa napanda tu mbegu za mazao bila kuzingatia hali ya hewa lakini sasa nimeelewa namna ya kupanda mbegu zinazoendana na hali ya hewa.

Na Rajab Mrope

Wajumbe wa kamati za huduma za hali ya hewa wilayani Pangani wanatarajia kuendesha shuhguli za kilimo, ufugaji na uvuvi kisasa

Wajumbe hao wamezungumza katika siku ya kwanza ya mafunzo yanayotolewa na shirika la CAN TANZANIA kwa kamati za huduma za hali ya hewa ngazi ya vijiji yanayofanyika mjini Pangani.

Mafunzo hayo yanalenga kuziwezesha kamati hizo kuwa kiunganishi kati ya jamii na wataalamu ili kuhakikisha taarifa za hali ya hewa zinatumika kwa usahihi kwa shughuli za kilimo,mifugo na uvuvi

Taarifa kamili na Rajab Mropre

sauti za washiriki wa mafunzo ya CAN