Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani akikabidhi cheti cha pongezi kwa Shirika la UZIKWASA. Anayepokea ni Meneja rasilimali watu wa shirika la UZIKWASA bi Rehema Kilapilo.
Shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA) limekuwa likifanya kazi ya kuwezesha jamii juu ya masuala ya kijinsia ndani na nje ya wilaya ya Pangani.