

14 July 2021, 11:07 pm
Kamati ya MTAKUWWA ya Kijiji cha Sange Wilayani Pangani Mkoani Tanga kwa kushirikiana baadhi ya wadau wa elimu wametoa vyakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi Sange na Makorora kusaidia maendeleo ya elimu.
Mwanahabari wetu Rajabu Mustapha amefika katika kijiji hicho sikiliza hapa taarifa yake.