Sengerema FM

Recent posts

4 April 2021, 8:54 pm

Makamu wa rais atoa maagizo mazito kwa TRA Nchin

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watumishi wote wa Umma na Watanzania kufanya kazi kwa Bidii, Uadilifu na weledi pamoja na  kumtanguliza Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango ameyasema…

4 April 2021, 8:08 pm

Namungo fc wachezea kichapo cha gori 1-0 dhiidi ya Nkana fc

TIMU ya Namungo FC imepoteza mechi ya tatu mfululizo katika Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.  Bao pekee la Nkana…

4 April 2021, 12:13 pm

Mwalimu mstaafu awataka vijana kuiga mfano wa Hayati Dkt. Magufuli.

Mzee Solomoni Elifuraha ni mwalimu mstaafu ambaye kafanya kazi na Hayati Dr. John Pombe Magufuli katika shule ya Senkondari Sengerema iliyopo mjini Sengerema Mkoani Mwanza. Akizungumza kwa masikitiko makubwa Mwl. Elifuraha amesema alizipokea kwa mashituko makubwa taarifa za kifo cha…

3 April 2021, 8:34 am

SERIKALI YASITISHA BEI MPYA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI

Kufatia malalamiko ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya Internet Nchini,baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo ni habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu…

2 April 2021, 11:53 am

Elimu bei elekezi ya vifurushi kizungumkuti.

Leo kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalumu imeanza kutumika Nchini ambapo wadau wameomba elimu izidi kutolewa juu ya kanuni hiyo mpya. Mwanzoni mwa mwezi uliopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania…

29 March 2021, 7:54 pm

Wafanyabiashara mjini wazidi kumulilia Jpm

Wafanyabiashara wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, wamlilia hayati Dkt John Pombe Magufuli huku wakidai kumuenzi kwa kufanya kazi. Wakizungumza wakiwa katika Soko la mnadani lililopo kata ya Nyampulukano wilayani Sengerema wafanya biashara hao wamesema kuwa katika kuendelea na maombolezo ya siku…

28 March 2021, 2:40 pm

Issa Mustapha atumia pikipiki kutoka Dar hadi Chato kumzika JPM.

Mwananchi mmoja anayejulikana kwa jina Issa Mustapha amesafiri umbali wa zaidi ya kilomita 1,200,kutoka mkoani Dar es Salaam hadi wilayani Chato Mkoa wa Geita kwa kutumia bodaboda  kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli. Akizungumza wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza…

28 March 2021, 1:28 pm

Rais Mama Samia atoa maagizo mazito kwa TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuharakisha kesi, kuondoa kesi sizizo na msingi na za kubambikiwa ili kuondokana na idadi kubwa ya kesi ambazo Serikali…