Sengerema FM

Recent posts

20 April 2021, 4:06 pm

Mbunge Tabasamu azungumuzia kutumbuliwa DED Sengerema

Taarifa iliyotolewa leo Aprili 20, 2021, Waziri Ummy Mwalimu amemusimamisha kazi Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya ya Sengerema,  Magesa Boniphace kupisha uchunguzi  baada ya kupokea malalamiko na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo katika halmashauri hiyo kutoka…

15 April 2021, 6:51 pm

Zaidi ya million 50 zatolewa kwenye vikundi vya wakinamama Sengerema.

Jumla ya milioni hamsini na saba57,200,000/= zimetolewa kwa vikundi 40 vya wanawake wajasiliamali wilayani sengerema mkoani. Akizungumza na Redio Sengerema Mratibu wa mfuko wa wanawake Wilaya Bi.Noela Yamo amevitaja vikundi vilivyopewa mkopo  ni pamoja na imani lelemama kutoka butonga,wanaufunuo kutoka…

8 April 2021, 3:28 pm

Serikali yaagiza kufukiwa kwa mashimo yanayotokana na uchimbaji madini

Serikali imesema mashimo makubwa yote yaliyotokana na uchimbaji wa madini katika Mikoa ya Mara, Geita na Shinyanga yanapaswa kufukiwa ili kurejeshwa katika hali yake ya awali. Hayo yamebainishwa na leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa…

8 April 2021, 12:38 pm

Rushwa ya ngono yamtia hatiani mkufunzi Chuo cha kilimo Bukoba.

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera John Joseph, amesema wanamshikilia mkufunzi mmoja wa chuo cha Kilimo Maruku, kilichopo katika wilaya ya Bukoba kwa tuhuma za kumuomba rushwa ya ngono mwanachuo mmoja wa kike…

8 April 2021, 12:11 pm

Chakula mashuleni chaongeza ufaulu kwa wanafunzi Buchosa.

Kufuatia muamko wa wazazi kuhamasika kuchangia chakula shuleni hali iliyopelekea kuongezeka kwa ufaulu kwa wananfunzi katika halimashauri Buchosa. Afsa elimu Sekondari wa halimashauri hiyo Mwl. Buruno sangwa amewapongeza wazazi kwa kuhamasika katika utoaji wa chakula jambo lililopelekea kuongezeka kwa ufaulu…

6 April 2021, 6:14 pm

Zao la alizeti latajwa kunyanyua uchumi wa wananchi Sengerema

Afisa kilimo kata ya Nyatukala Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza  Bi. Jonesia Joseph amewataka wakazi wa kata hiyo kutumia mvua zinazoendelea kunyesha  katika  kilimo ili kujipati chakula  pamoja na kipato. Bi Jonesia ametoa kauli hiyo ofisini kwake nakusema kuwa  kutokana…