Recent posts
6 May 2024, 7:36 am
Vijana tafuteni kipato cha halali, serikali ipo nanyi
Mnapofanya kazi zenu kwa uhalali serikali inawaona na itawawezesha kukabiliana na changamoto mnazokutana nazo. Na Cosmas Clement Vijana mkoani Tanga wametakiwa kujituma kwa kufanya kazi halali za kujiingizia kipato ili kuwawezesha kusonga mbele kimaendeleo na kupunguza tatizo la vijana kukosa…
27 April 2024, 2:21 pm
Miaka 60 ya Muungano, Pangani yajivunia miradi ya kimkakati
Mafanikio ya miradi ya kimkakati miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanafaa kujivunia. Na Hamisi Makungu Wananchi wa Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuisherehekea Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kujivunia Mafanikio na Miradi…
27 April 2024, 1:09 pm
UZIKWASA kuboresha usikivu Pangani FM
UZIKWASA imeanza kufanya maboresho ya usikivu wa redio Pangani FM kufuatia athari za mvua zinazoendelea kunyesha. Na Hamisi Makungu Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Tanga zimechangia kuathiri mitambo ya Kituo cha Radio Pangani FM iliyopo Mkanyageni…
16 December 2023, 1:58 pm
Wadau wa shirika la UZIKWASA wajivunia kubadilishana uzoefu
kukaa kwa pamoja imekuwa ni fursa ya kujifunza kutoka kwa wengine namna ambavyo waliweza kukabiliana na changamoto mbali mbali hali inayowezesha wengine kujifunza jinsi wenzao walivyofanikiwa. Na Catherine Sekibaha. Wadau wa washirika la UZIKWASA wamejivunia kubadilishana uzoefu kupitia mbinu wezeshi…
13 December 2023, 11:26 am
Jinsi msimu wa uvuvi unavyosaidia kupunguza matukio ya wizi Pangani
Katika msimu wa uvuvi naweza kupata hata shilingi laki tatu kwa siku kwa kuuza dagaa, pia changamoto ya vijana kuiba yamepungua. Na Cosmas Clement. Kuanza kwa msimu wa uvuvi wa dagaa katika mji wa Pangani kumetajwa kuwa ni fursa nzuri…
13 December 2023, 11:03 am
Wazazi waaswa kuwalinda wanafunzi kipindi cha likizo
Matukio mengi ya ukatili kwa wanafunzi hutokea kipindi cha likizo hivyo wazazi wawe makini kuwalinda watoto wao. Na Cosmas Clement. Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Pangani mkoani Tanga wameaswa kuwa makini na kuimarisha usimamizi kwa watoto wao katika kipindi…
31 October 2023, 12:55 pm
UWaWa kutatua changamoto ya utoro wilayani Pangani, Tanga.
Na Cosmas Clement. Makala haya yanaelezea jinsi hali ya utoro ilivyopungua kwa shule za msingi wilaya ya Pangani kwa kipindi cha kuanzia June 2022 hadi June 2023 kutoka asilimia 15 kufikia asilimia 2. katika makala haya utasikia jinsi ushirikiano wa…
29 October 2023, 4:03 pm
Jamii Tanga yaaswa kuzingatia lishe, kujenga afya bora
“kuanzia miaka 10 hadi 19 ni umri wenye tabia za ulaji wa vyakula vyenye mafuta,sukari na chumvi na kutokula mboga mboga na matunda” Halmashauri ya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga imeadhimisha siku ya lishe katika ofisi ya kata ya Pangani…
25 October 2023, 12:18 pm
Wazazi shirikianeni katika malezi ya watoto wenu wapate elimu bora
Kila mmoja akisimama katika nafasi yake itapunguza wanafunzi kuzurura mitaani na kuacha utoro. Na Saa Zumo. Wazazi na walezi wameshauriwa kuwa na ushirikiano katika malezi na makuzi ya watoto ili kuwawezesha kusoma kwa bidii na kufikia malengo yao. Hayo yamejiri…
25 October 2023, 11:39 am
BOOST, EP4R na TEA zaing’arisha shule ya msingi Pangani
Serikali kupitia viongozi wetu wametuheshimisha, madarasa yaliyojengwa yatakuwa msaada mkubwa kwa wanafunzi. Na Cosmas Clement. Serikali imefanikiwa kutumia zaidi ya shilingi milioni 100 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/21 hadi 2022/23 kwa ajili kutekeleza ujenzi wa miundombinu ya madarasa…