Recent posts
25 July 2024, 3:28 pm
Zingatia haya kuimarisha afya yako
Siku ya Afya na Lishe inapaswa kufanyika kwa kila kijiji mara nne kwa mwaka kwa vipindi vya miezi mitatu ili kutoa elimu kwa jamii juu ya milo sahihi. Na Cosmas Clement Wananchi katika kijiji cha Pangani Mashariki wametakiwa kuzingatia lishe…
25 July 2024, 2:50 pm
Wajawazito Pangani waaswa kuwahi kliniki
Mara nyingi wajawazito huchelewa kuanza kliniki ya ujauzito hali inayotajwa kuleta ugumu katika kukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza. Na Cosmas Clement Wito umetolewa kwa mama wajawazito wilayani Pangani kuanza kliniki mapema ili kupunguza changamoto za kiafya zinazoweza kujitokeza. Akizungumza katika…
25 July 2024, 2:32 pm
Vijana Pangani wakataa uvivu, wajitosa bandarini
Bandari ya mji wa Pangani imeajiri zaidi ya vijana 200 kwa kujihusisha na shughuli za kubeba mizigo. Uwepo wa bandari katika mji wa Pangani mkoani Tanga umetajwa kuongeza fursa ya ujira kwa vijana zaidi ya mia mbili wilayani humu. Wakizungumza…
22 July 2024, 6:00 pm
Wazazi Pangani waaswa kusimamia maadili kwa watoto
Mmonyoko wa maadili kwa watoto imekuwa ni ajenda inayozungumzwa kila uchao kutokana na uwepo wa matukio mbalimbali yanayosababaishwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii. Na Hamisi Makungu Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Hamidu Aweso amewataka akina mama kulipa…
27 June 2024, 10:27 pm
Kilio, fidia kwa baadhi ya wananchi waliopisha barabara
Ujenzi wa barabara ya lami kutoka Tanga yenye urefu wa Km 50 unagharimu shilingi za kitanzania bilioni 66.853 Na Hamisi Makungu Kilio cha Madai ya fidia kwa Wananchi waliochukuliwa maeneo yao kupisha Mradi wa Barabara Tanga-Pangani-Saadani-Bagamoyo bado Donda ndugu. Kilio…
27 June 2024, 9:58 pm
TAKUKURU kuchunguza waliozima POSS wilayani Pangani
Awali katika kikao cha Baraza la Madiwani Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani aliagiza kuchukuliwa hatua wote waliozima mashine hizo za ukusanyaji wa mapato. Na Hamisi Makungu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Pangani…
27 June 2024, 9:37 pm
Shilingi milioni 600 kujenga shule ya Ufundi Pangani
Ujenzi wa shule ya ufundi unatarajiwa kuleta hamasa kwa wanafunzi wa Pangani kujifunza masomo ya sayansi. Na Hamisi Makungu Shule Mpya ya Sekondari ya UFUNDI itakayogharimu kiasi cha Shilingi Milioni 600 inatarajiwa kujengwa Wilayani Pangani katika Mwaka wa Fedha 2024/2025.…
27 June 2024, 8:01 pm
Historia kutawala ‘Kozo’ kuhusishwa mauaji Bweni
Kijiji cha Bweni kilichopo wilaya ya Pangani, kina historia ya maadili ya kuvutia tangu enzi za mababu, lakini kwa miaka ya hivi karibuni kimeingia katika wingu la hofu kwa kuwa tukio hilo ni la pili la mauaji baada ya tukio…
25 June 2024, 9:59 am
DC Pangani, ni marufuku masomo ya usiku
Uchunguzi wabaini watoto 26 wa shule moja kulatiwa. Na Hamisi Makungu Mkuu wa Wilaya ya Pangani Musa Ramadhan Kilakala amepiga Marufu Wanafunzi kurudi Shuleni usiku, huku akitaka muda wa masomo uzingatiwe. DC Kilakala ametoa Marufuku hiyo baada ya hivi karibuni…
22 June 2024, 10:37 am
RC Tanga: Hakikisheni mpaka June 28 hoja 19 zimejibiwa
Pamoja na kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 halmashauri ya wilaya ya Pangani imekuwa na hoja nyingi ambazo hazijajibiwa ikiwemo kumi na tisa za kamati ya kudumu ya Bunge. Na Cosmas Clement Halmashauri ya wilaya ya Pangani imepewa…