Recent posts
27 October 2024, 10:30 am
Kukua tehama Tanzania kunavyoibua uhitaji zaidi kwa watumiaji
Mwaka 2023 Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa katika matumizi ya TEHAMA kwa kushika nafasi ya 26 kidunia na ya pili barani Afrika baada ya Mauritius. Hayo yamebainishwa kwenye utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia (WB) kuhusu…
26 October 2024, 8:46 pm
Aweso akabidhi mashine ya kuchapisha Mkwaja sekondari
Kwa darasa hilo ni wanafunzi 20 pekee wamefanikiwa kufikia hatua ya kuhitimu kidato cha nne kati wanafunzi 62 walioanza nao masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021. Na Cosmas Clement Mbunge wa jimbo la Pangani na waziri wa Maji Mhe.…
25 October 2024, 9:03 pm
REA yahamishia nguvu vitongojini Pangani
Utekelezaji wa usambazaji wa umeme katika vitongoji kumi na tano wilayani Pangani unatarajiwa kukamilika mwaka wa fedha ujao. Na Cosmas Clement Serikali kupitia REA inatarajiwa kutekeleza mradi wa Usambazaji wa umeme katika vitongoji kumi na tano wilayani Pangani katika mwaka…
25 October 2024, 4:29 pm
Wanandoa Tanga wahatarisha afya zao kisa mahusiano
Katika harakati za baadhi ya wanandoa wilaya ya Pangani mkoani Tanga kuhakikisha wanalinda mahusiano yao hulazimika kushiriki kinyume na maumbile ili kuwaridhisha wenzao wao. Ungana na msimulizi wetu Hamisi Makungu kupata kisa hicho ambapo utapata nafasi ya kuwasikia viongozi wa…
23 October 2024, 6:29 pm
Wanawake na uhifadhi walivyookoa bioanuai na spishi adimu
Ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya uhifadhi ulivyookoa maisha ya bioanuai na spishi adimu katika hifadhi ya misitu wa mazingira asilia Amani wilayani Muheza mkoani Tanga. Kuachwa nyuma wanawake kwa miaka mingi kulichangia misitu na viumbe vilivyopo ndani ya hifadhi…
23 October 2024, 6:06 pm
Vita dhidi ya uvunaji haramu miti ya mbao hifadhi ya mazingira Amani
Juhudi shirikishi na endelevu za serikali na wadau kwa wananchi zilivyoleta tija katika kudhibiti uvunaji haramu wa miti ya mbao na mazao mengine ya misitu katika ushoroba wa Amani-Nilo. Kufahamu undani wa hayo na mengine mengi ungana naye mtayarishaji na…
23 October 2024, 3:57 pm
Jinsi kilimo hai kilivyouokoa msitu wa Amani
Baada ya kuachana na njia ya kuchoma moto wakati wa kutayarisha mashamba na kuanzisha kilimo hai hali imekuwa tofauti na kuunusuru msitu wa Amani uliopo Wilayani Muheza Mkoani Tanga na majanga ya moto. Fuatana na mtayarishaji na mtangazaji Hamisi Makungu…
21 October 2024, 1:52 pm
Madaktari bingwa wa mama Samia kuanza kazi Pangani
Madaktari bingwa hao watahudumia wananchi watakaofika katika hospitalini kwa gharama za kawaida, tofauti na za hospitali za rufaa. Timu ya madaktari Bingwa wa Rais Samia wamewasili ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani mapema leo tarehe 21…
20 October 2024, 8:49 pm
Uwepo wa chuo cha VETA wilayani Pangani unavyowajengea uwezo vijana dhidi ya cha…
Miaka ya nyuma katika wilaya ya Pangani vijana wengi wanaohitimu elimu ya msingi ama secondary na kutochaguliwa kuendelea na elimu nje ya Pangani walijikuta wakijiingiza katika shughuli za uvuvi, kilimo, biashara ya mkaa ambayo imepelekea vijana wengi kuachana na familia zao…
15 October 2024, 8:31 am
Pangani kuendesha shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi kisasa
Zamani nilikuwa napanda tu mbegu za mazao bila kuzingatia hali ya hewa lakini sasa nimeelewa namna ya kupanda mbegu zinazoendana na hali ya hewa. Na Rajab Mrope Wajumbe wa kamati za huduma za hali ya hewa wilayani Pangani wanatarajia kuendesha…