Recent posts
16 November 2021, 1:11 pm
Pangani kutumia Milioni 35 kuwalinda Wanafuzi dhidi ya Uviko-19.
Halamshauri ya wilaya ya Pangani inajipanga kutumia kiasi cha fedha Shilingi Milioni 35 kujenga miundombinu ya kuwezesha wanafunzi kunawa mikono katika shuleni kama hatua ya ujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona. Katika mazungumzo aliyofanya na Pangani FM Mkurugenzi wa…
15 November 2021, 3:02 pm
COP 26: Hatua za muhimu bado Vitendawili.
Kuanzia October 31 hadi Novemba 13 mwaka huuu Viongozi mbalimbali wamekutana nchini Scotland Kushiriki katika Mkutano unaofahamika kwa jina COP ikiwa mwaka huu ni COP26. Tanzania ikiwakilishwa na VIONGOZI mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
12 November 2021, 5:02 pm
Shinikizo la Damu changamoto zaidi kwa Wanaume Pangani.
Magonjwa ya Sukari na Shinikizo la Damu la Juu yanaongoza kuwa na idadi kubwa ya Wagonjwa Wilayani Pangani Mkoani Tanga. Takwimu zinaonyesha kuwa katika kipindi cha kuanzia Septemba 2020 hadi Septemba 2021 Jumla ya Wagonjwa wenye Shinikizo la Damu la…
11 November 2021, 10:43 am
Miioni 80 za IMF kujenga madarasa Bushiri.
Viongozi wa kata ya bushiri wilayani Pangani mkoani Tanga wamepanga kuanza ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa mwezi huu baada ya kupokea fedha kutoka Serikali. Fedha hizo zinatokana na mpango wa Serikali ya Tanzania wa kuinua Uchumi kwa kutumia mkopo…
9 November 2021, 1:17 pm
Zaidi ya Milioni 59 kutolewa mikopo kwa vikundi Pangani.
Halmashauri ya wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imfanikiwa kutenga kiasi cha milioni 21.34 ikiwa ni asilimia kumi ya mapato ya halamshauri hiyo ndani ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22 zitakazokopeshwa kwa vikundi mbalimbali vya vijana,wanawake na walemavu.…
1 November 2021, 2:04 pm
Wiki ya AZAKI 2021
Wiki ya AZAKi 2021 ilianza tarehe 23 hadi 28 Oktoba katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre mjini Dodoma. Tukio hili ni moja ya mikusanyiko mikubwa ya Asasi za Kiraia nchini Tanzania. Tukio hili linalenga kuwaleta pamoja wanachama wakuu wa…
15 September 2021, 4:12 pm
Madaraka Nyerere: Baba alikuwa hivi.
October 14 mwaka 2020 ilikuwa Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki…
13 September 2021, 9:34 am
Pangani FM yaibuka kidedea tuzo za EJAT 2020.
Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Radio Pangani FM Rajabu Mustapha Mrope ameibuka mshindi wa kwanza Kitaifa wa tuzo za umahiri wa Habari Tanzania (EJAT) mwaka 2020 katika kipengele cha Habari za Data na Takwimu. Makala iliyopelekea ushindi huo ilionyesha…
18 August 2021, 1:30 pm
Ajinyonga kisa wivu wa mapenzi Pangani.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Amury Mwin-dadi mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Mikinguni Wilayani Pangani Mkoani Tanga ajinyonga kutokana na wivu wa kimapenzi. Mrakibu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Pangani…
4 August 2021, 5:37 pm
Waliojitokeza kupokea chanjo ya Corona Pangani.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga leo imeanza zoezi la utoaji wa Chanjo ya virusi vya Corona kwa makundi yaliyopewa kipaumbele ikiwemo watoa huduma za afya, watu wenye magonjwa sugu na wazee. Viongozi wa Serikali, taasisi, watumishi wa afya…