Pangani FM

Mtoto wa kike pigania haki yako, kutimiza malengo yako

11 October 2024, 4:27 pm

Mkurugenzi wa Shirika la UZIKWASA Novartus Urassa akiwa na Mwezesha wa shirika hilo Erick Malya

Mtoto wa kike anapaswa kutambua kwamba jamii inampambania kutimiza malengo yake

Na Hamis Makungu

Wito umetolewa kwa Mtoto wa kike kupigania haki na malengo aliyojiwekea na kutambua kwamba jamii inamtegemea na iko tayari kumpambania kutimiza malengo yake

Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Shirika la UZIKWASA Novatus Urassa wakati ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mtoto wa kike.

Sauti ya Novatus Urassa mkurugenzi wa UZIKWASA

Kwa upande wake Muwezeshaji kutoka Shirika hilo Erick Mallya amewataka wasichana kutumia fursa ya uwepo wa teknolojia kujitengenezea nafasi yao ya kiuchumi.

Eric Mallya mwezeshaji kutoka UZIKWASA

ERICK amewataka pia wadau kujitathmini kwa nafasi zao namna wanavyowajibika katika kumlinda mtoto wa kike.

Eric Mallya mwezeshaji kutoka UZIKWASA

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa kike Duniani Mwaka huu yanabebwa na kauli mbiu isemayo “Msichana na uongozi, tumshirikishe wakati ni sasa”.