Pangani FM
Pangani FM
24 November 2025, 12:54 pm

Na Saa Zumo
Ukeketaji kwa wasichana vigoli wilayani kilindi mkoani Tanga Unafanyika kipindi ambacho Msichana amevunja ungo, na anakutana na shughuli ya awali ya kukeketwa, kisha kuchezewa sherehe ya unyago kwa ajili ya maandalizi ya kuingia katika hatua ya ukubwa na baada ya hapo aingie katika ndoa.
Fuatilia makala hii hapa iliyoandaliwa na Saa Zumo