Pangani FM

We world, 4H Tanzania katika mradi wa kujenga amani

4 September 2025, 10:06 pm

Afisa tafa ya Pangani Mjini Bi Heliswida Majula akimwakilisha mkuu wa wilaya ya Pangani Mhe. Gift Isaya Msuya. Picha na Abdilhalim Shukuran

Shirika la We world linashirikiana kwa pamoja na 4H Tanzania kwa ajili ya kukuza uelewa kwa wanafunzi katika baadhi ya shule wilayani Pangani.

Na Abdilhalim Shukran

Shirika la we world kwakushirikiana na 4H Tanzania, wamekutanisha wanafunzi, walimu na baadhi ya tasisi zisizo za kiserikali kwalengo la kutoa Elimu ya kujenga Amani Pamoja mashuleni Wilayani Pangani Mkoani Tanga

Tuungane na Mwanahabari abdilhalim shukuran Abdallah kwa taarifa zaidi

Wrap Abdilhalim Shukran