Pangani FM

Makala:Jinsi siafu wanavyotumika kutabiri msimu wa mvua

2 September 2025, 6:58 pm

Bwana Msafiri Crispin kutoka Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania. Picha na Cosmas Clement

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imekuwa ikitoa taarifa utabiri wa hali ya hewa uliopimwa kwa njia za kisayansi kisha kusambazwa kwa wananchi katika maeneo husika. Hata hivyo katika jamii za wakulima na wafugaji na wavuvi wilayani Pangani, wapo wagunduzi wa njia za asili katika kutabiri mwenendo wa hali ya hewa kwa msimu husika.

Watabiri hao wa njia za jadi hutumia viashiria mbalimbali kugundua iwapo mvua itanyesha au haitanyesha, Je mdudu siafi anatumikaje kupima mvua?

Karibu kujifunza kupitia makala hii kwa kusikiliza hapa kama ilivyoandaliwa na Cosmas Clement.