Pangani FM

Waikacha shule, wakitafuta maisha

14 April 2025, 12:04 pm

Baadhi ya vyombo vya uvuvi katika bandari ya Kipumbwi

Asilimia kubwa ya wanafunzi katika maeneo yanayopakana na bahari hususan kijiji cha Kipumbwi wanaacha shule ili kutafuta maisha kwa shughuli za kupara samaki na uvuvi hivyo kuchangia mdondoko katika baadhi ya shule wanazosomea.

Mwandishi wetu Saa Zumo ametuandalia makala ifuatayo.

Sikiiza hapa