Pangani FM

Dokta Samia kufanya ziara Wilayani Pangani siku ya jumatano ya februari 26 mwaka huu.

24 February 2025, 3:44 pm

Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan

katika Wilaya ya Pangani Mheshimiwa Rais pamoja na mambo mengine ataongea na wananchi katika uwanja wa Kumba kuanzia saa mbili kamili asubuhi hivyo wananchi mnaaswa kufika mapema kuumlaki mgeni wetu Mkuu wa (W) Pangani Bi Gift Msuya

Na Maajab Ally Madiwa

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hasan kufanya ziara Wilayani Pangani siku ya jumatano ya februari 26 mwaka huu

Akizungumza nasi kwa njia ya simu mkuu wa Wilaya ya Pangani BI GIFTI ISAYA MSUYA akiwa kwenye ziara ya Rais Wilayani Lushoto Mkoani Tanga amewataka wananchi Wilayani pangani kujitokeza kwa wingi kumpokea Mh Rais siku ya jumatano februari 26 mapema asubuhi

Sauti ya Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi Gift Msuya