nitoe wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi kuudhuria mafunzo haya kwasababu mpaka sasa wenzetu kutoka nje ya wilaya ya Pangani wameishafika kwa ajili ya kuudhuria mafunzo haya
Na Abdillahim Shukran Washuku
Waumini wa dini ya kiislam katika wialaya Pangani mkoani Tanga wameombwa kuhudhuria kwa wingi katika siku tatu za mafunzo ya Dini maafuru kama EJITIMAI yanayo tarajiwa kuanza leo Ijumaa febuary 21mwaka huu
Akitoa witoa huo Shekhe HAMISI RASHIDI amesema baadhi ya Wageni na Viongozi wa dini ya Kiislamu wameshanza kufika katika wilaya hiyo kwa ajili ya kuanza kwa EJITIMAI
sauti ya Shehe Hamis Rashid
Aidha shekhe Hamisi amewasisitiza vijana kushirika katika mafunzo hayo ambayo yatafanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo
sauti ya Shehe Hamis Rashid
Shughuli hizo zimekuwa zikifanyika kila mwaka mara moja ikiwa na lengo la waumini wa kiisilamu kukutana na kufanya Ibada na mafundisho ya dini huku wakiwakaribisha viongozi mbalimbali wa dini hiyo wa ndani na njee ya wilaya Pangani