Pangani FM

CAN Tanzania yafanya tathmini msimu wa vuli na masika

11 February 2025, 12:42 pm

Na Abdillahim Shukran

Nashauri wakulima waandae mashamba mapema kabla ya msimu wa mvua kuanza ifikapo mwezi March mwaka huu

picha ya pamoja washiriki wa mafuzo yalitolewa na CAN Tanzania

Shirika la CAN Tanzania limewakutanisha wawakilishi kutoka Pangani na Lushoto ili kufanya Tathmini ya msimu wa Vuli na Masika kwa mwaka 2024 – 2025.

Mafunzo hayo ya siku moja yamewakutanisha wawakilishi wa Halmashauri mbili ikiwa ni wakulima, wafugaji na wavuvi Pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali Pangani na Lushoto

Tupate taarifa kamili kutoka kwa mwandishi wetu ABDILHALLIM SHUKRAN aliyehudhuria mafunzo hayo

sauti za washiriki wa mafunzo yaliyotolewa na CAN Tanzania