Pangani FM

Kipumbwi hatarini kutoweka kutokana na bahari kuendelea kuingia nchi kavu

11 February 2025, 11:57 am

Na Amina Sadick

Mmomonyoko wa udongo unaosababishwa na maji ya bahari unaongezeka na mwisho wa siku mji wa kipumbwi unaweza ukuhama.

Mji wa kipumbwi uliopo wilyani Pangani mkoani tanga uko hatarini kutoweka kutokana na bahari kuendelea kuingia nchi kavu.

Hayo yamejiri katika mafunzo ya utunzaji wa mazingira yaliyotolewa kwa kamati ya mazingira kijiji cha Kipumbwi.

Kwa taarifa zaidi tujiunge na mwanahabari wetu Amina Sadiki

sauti ya wajumbe wa kamati ya mazingira kijiji cha Kipumbwi