

4 February 2025, 2:13 pm
Mvua za msimu wa kilimo cha mwaka zilitabiriwa kuanza wiki za mwanzoni mwa mwaka mwezi Machi mwaka huu 2025.
Na Hamisi Makungu
Wakulima katika Wilaya ya Pangani mkoani Tanga wametakiwa kuhakikisha wanaandaa mashamba yao mapema kabla ya kuanza kwa msimu wa mvua za masika mwezi Machi mwaka huu.
Wito umetolewa na Mkuu wa Division ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Wilayani Pangani Bw. Ramadhan Zuberi wakati akizungumza na Pangani FM.
Taarifa zaidi na Mwanahabari wetu HAMISI MAKUNGU…