Pangani FM

Makala: Jinsi kilimo cha mkonge kitakavyomnufaisha mkulima mdogo kiuchumi

28 October 2024, 10:39 pm

Shamba la mkonge la mmoja wa wakulima wadogo likichanganywa na mazao mengine.

Kilimo Cha zao la mkonge limekuwa likipigiwa debe kutokana na uhakika wa soko lake kidunia Kwa Sasa kwani mkulima mmoja anaweza kupata Hadi shilingi milioni 4 Kwa mwaka Kwa kila hekta Moja.

Baada ya Serikali kulifanya zao la mkonge kulifanya zao la kimkakati kwa miguu miwili, je vipi zao hili linalohimili mabadiliko ya hali ya hewa mkomboa mkulima mdogo kiuchumi? Hamisi Makungu amelimulika hilo.

Sikiliza makala zaidi hapa na Hamisi Makungu