Pangani FM

Jinsi urithishwaji wa elimu ya uhifadhi wa misitu kwa watoto na vijana inavyowezesha uendelevu wa misitu

28/10/2024, 14:32

Misitu ulioshamiri. picha na mtandao

Utunzaji wa misitu husaidia uendelevu wa misitu hivyo elimu ya uhifadhi kwa vijana inatajwa kuwa na mchango mkubwa.