Recent posts
8 January 2021, 7:58 pm
Kilimo cha Mkonge kwa Wakulima wadogo Pangani.
Baadhi ya wakulima wadogo wilayani Pangani mkoani Tanga wameeleza kuhamasika katika a kilimo cha Zao la Mkonge ili kujikwamua kiuchumi. Wakizungumza katika kipindi cha Jicho Pevu kinachoruka kupitia Pangani FM kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 12 Kamili Jioni kilichoangazia…
7 January 2021, 6:12 pm
KONA YA KIJANJA
LEO KATIKA KONA YA KIJANJA Tunajadili juu ya vijana na matumizi ya Ugoro tukimulika uraibu (uteja) ,athari na suluhisho lake. Yapi maoni yako katika hili? Toa maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii Facebook https://www.facebook.com/panganifm107.7 na Instagram https://www.instagram.com/panganifm107.7/ Ndani ya…
7 January 2021, 5:04 pm
Madiwani wa Kata zote wilayani Pangani katika Mafunzo ya Uongozi wa ‘mgu…
Madiwani wa kata 14 za wilaya ya Pangani Mkoani Tanga pamoja na viongozi wa Halmashauri (w) wameshiriki katika mafunzo ya ‘uongozi wa mguso yanayoratibiwa na shirika la UZIKWASA lililopo wilayani humo. Mafunzo hayo yanayolenga Kumwezesha kiongozi kujimulika mwenyewe,kutafakari na katika…
7 January 2021, 4:45 pm
Kilio cha Gwiji wa Soka Ligi Kuu Tanzania juu ya kudidimia kwa Soka la Pangan…
Kufuatia mjadala uliogusa hisia za wadau wa Soka Wilayani Pangani baada ya kauli ya Kocha wa Timu ya Sakura Kids kuwa Moja ya vitu vinavyoua Soka la Pangani ni tabia ya Timu za Pangani kutumia Idadi kubwa ya Wachezaji toka…
7 January 2021, 9:16 am
Mama ajifungua Watoto Mapacha Watatu Pangani
Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Kwakibuyu Wilayani Pangani Mkoani Tanga amejifungua watoto mapacha watatu siku ya Januari Mosi 2021. Pangani FM imemfikia Mwanamke huyo na kufanya naye mahojiano akiwa katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Wilaya ya Pangani.…
5 January 2021, 3:22 pm
Zaidi ya Milioni 65 zimetolewa kwa wanawake,vijana na wenye ulemavu Pangani.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanikiwa kutoa Mikopo ya zaidi ya Shilingi Milioni 65 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu katika kipindi cha nusu ya Mwaka wa fedha 2020/21. Akizungumza katika mahojiano maalum…
4 January 2021, 2:09 pm
Hii ndiyo Siri ya Mafanikio toka kwa Wazazi wa Mwanafunzi bora Darasa la 7 2020.
Suala la malezi pamoja wazazi kujitoa kwenye elimu linatajwa kama nyenzo katika kuhakikisha mtoto anafanya vizuri shuleni. Hayo yameelezwa na wazazi wa Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya Kwanza katika Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2020 Wilayani Pangani. Sikiliza hapa taarifa…
4 January 2021, 1:25 pm
Polisi Pangani inawashikilia vijana hawa kwa kosa la Kupiga Baruti.
Jeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga linawashikilia Vijana watatu wakazi wa Pangani Mjini kwa kosa la kupiga Baruti usiku wa kuamkia 1/1/2021 katika eneo la Mnyongeni kwa Mfuga Mbwa Hayo yamezungumzwa na kamanda wa Polisi wilaya ya Pangani Mrakibu…
1 January 2021, 7:52 pm
Kipumbwi yapokea Kontena la Ofisi ya Bandari.
Uongozi wa Kitongoji cha Kipumbwi Mji Mpya kilichopo Kijiji cha Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamepokea Kontena litakalotumika kama Ofisi ya bandari hiyo. Akithibitisha kupokea kontena hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Bwana JUMBE MRISHO ambaye ni Mwenyekiti…
1 January 2021, 7:04 pm
Pangani FM yamtembelea Mjane wa Omari S Mahamba.
Uongozi wa Pangani FM umemtembelea mjane wa aliyekuwa mdau wake bwana Omari S. Mahamba ambaye amefariki mwishoni mwa mwaka 2020. Msafara huo wa umbali wa zaidi ya Kilomita 50 toka wilayani Pangani mpaka wilayani Handeni Mkoani Tanga umefanyika tarehe 31…