Recent posts
26 January 2021, 12:18 pm
Uhusiano kati ya Chakula Shuleni na Utoro.
Ukosefu wa chakula cha uhakika katika shule za msingi na Sekondari hapa Wilayani Pangani mkoani Tanga unatajwa kuchangia utoro kwa wanafunzi. Hayo yamesemwa na Afisa Elimu Msingi Wilayani hapa ndugu JUMA HASSANI MBOHELA katika kikao cha kamati ya lishe ya…
25 January 2021, 6:26 pm
Siri ya Wakandarasi kutumia vibarua toka nje ya Pangani yatajwa.
Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga hususani vijana wametakiwa kuchangamkia fursa za miradi ya ujenzi inayotekelezwa wilayani humo badala ya kukaa vijiweni na kuchagua kazi. Wito huo umetolewa kwa vijana ili kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kuimarisha mapato ya Halmashauri Hayo yamesemwa…
21 January 2021, 2:51 pm
Bima ya Afya CHF: Wigo umeongezwa sasa huduma hadi nje ya Halmashauri.
Wananchi wamehimizwa kujiunga kwa wingi katika Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii CHF iliyoboreshwa ili wapate vitambulisho vitakavyowasaidia kupata matibabu kwa mwaka mzima katika vituo vya kutolea huduma za Afya ikiwemo na Hospitali za Rufaa. Hayo yamesemwa leo na…
20 January 2021, 7:06 pm
Ziara ya Waziri Mkuu Tanga: Sikiliza hapa mipango ya Serikali juu ya Mkonge.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yuko ziarani Mkoani Tanga,ziara yenye lengo la kuhamasisha uendelezaji wa zao la Mkonge. ziara hii inakuaja kama sehemu ya ufuatiliaji wa maagizo aliyotoa katika ziara yake mnamo mwezi Juni 2020. Mwanahabari wetu…
20 January 2021, 3:36 pm
Ziara ya Waziri Mkuu Tanga: Wakulima wa Mkonge washauriwa kuanzisha Ushirika.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha zao la mkonge linaendelezwa na kuwanufaisha watu wote wanaoshughulika na zao hilo. Waziri Mkuu amesema hayo akiwa ziarani Mkoani Tanga wakati wa mkutano ulioshirikisha Wadau mbalimbali wa zao la mkonge,…
19 January 2021, 4:20 pm
Ziara ya Waziri Mkuu Tanga: atagawa Mbegu kwa wakulima,Wadau wote wa Mkonge wa…
Wadau mbalimbali wa zao la Mkonge Mkoani Tanga wamealikwa kushiriki katika kikao maalum kitakachofanyika Mkoani humo katika Ukumbi wa Regal Naivera Mkoani uliopo Tanga Jiji. Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake leo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela…
18 January 2021, 12:37 pm
Marufuku kutumia viti vya Wanafunzi kwenye Mikutano ya Vijiji Pangani.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepiga Marufuku Matumizi yaViti na Madawati ya Shule kwenye Mikutano ya Viijiji. Katazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje wakati akizungumza na Kituo hiki, ambapo…
13 January 2021, 12:52 pm
Pangani FM na Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi ya mwaka 1964 Sikiliza Makala fupi aliyoandaa Mwandishi wetu Rajabu Mustapha.
10 January 2021, 2:06 pm
Mikononi mwa Polisi kwa tuhuma za kumbaka Binti wa Miaka 6.
Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga linamshikilia kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ramadhani Omari mwenye umri wa miaka 25 Mkazi wa Wilaya ya Pangani kwa tuhuma za kumbaka binti mdogo wa miaka sita. Akizungumza na Pangani FM ofisini…
10 January 2021, 12:15 pm
CHUMO LA WIKI
Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na mwangwi nayo yajazawa na sauti…