Pangani FM

Recent posts

4 January 2021, 1:25 pm

Polisi Pangani inawashikilia vijana hawa kwa kosa la Kupiga Baruti.

Jeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga linawashikilia Vijana watatu wakazi wa Pangani Mjini kwa kosa la kupiga Baruti usiku wa kuamkia 1/1/2021 katika eneo la Mnyongeni kwa Mfuga Mbwa Hayo yamezungumzwa na kamanda wa Polisi wilaya ya Pangani Mrakibu…

1 January 2021, 7:52 pm

Kipumbwi yapokea Kontena la Ofisi ya Bandari.

Uongozi wa Kitongoji cha Kipumbwi Mji Mpya kilichopo Kijiji cha Kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamepokea Kontena litakalotumika kama Ofisi ya bandari hiyo. Akithibitisha kupokea kontena hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Bwana JUMBE MRISHO ambaye ni Mwenyekiti…

1 January 2021, 7:04 pm

Pangani FM yamtembelea Mjane wa Omari S Mahamba.

Uongozi wa Pangani FM umemtembelea mjane wa aliyekuwa mdau wake bwana Omari S. Mahamba ambaye amefariki mwishoni mwa mwaka 2020. Msafara huo wa umbali wa zaidi ya Kilomita 50 toka wilayani Pangani mpaka wilayani Handeni Mkoani Tanga umefanyika tarehe 31…

3 December 2020, 12:58 pm

Polisi Pangani yaitaka Jamii kushiriki kikamilifu kutoa ushahidi.

Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga, limeitaka jamii kushiriki kikamilifu kutoa ushahidi pale ambapo mwananchi atakuwa ameshuhudia tukio fulani la ukatili au uhalifu wowote ili kesi ziweze kufikia mwisho. Wito huo umetolewa na Mkuu wa upelelezi wilaya ya Pangani…

2 December 2020, 4:43 pm

Ufaulu Darasa la Saba 2020 washuka Wilayani Pangani.

Ufaulu kwa wanafunzi waliohitimu Darasa la Saba Wilayani Pangani kwa mwaka 2020 umetajwa kushuka kwa Asilimia 6.74% ukilinganishwa na Mwaka jana. Akizungumza na Pangani fm Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani amesema ufauu huo umeshuka ukilinganisha na mwaka jana…