Recent posts
9 March 2021, 8:13 pm
Wazazi Wilayani Pangani washauriwa kuendeleza vipaji vya Watoto.
Wazazi na walezi wilayani Pangani Mkoani Tanga wameshauriwa kuwaendeleza vipaji mbalimbali vya watoto wao ili kuwawezesha kufikia ndoto zao. Hayo yameelezwa na Mwalimu mkuu msaidizi wa Shule ya Sekondari Funguni RAMADHANI KAKAI wakati akizungumza na PANGANI FM Mwalimu huyo amesema…
8 March 2021, 8:14 pm
DC PANGANI alia na mimba likizo ya Corona.
Ikiwa leo Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Wanawake Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameaswa kujizatiti kwenye Malezi ya Watoto wao hasa wa kike ili kufikia lengo la Dunia yenye Usawa. Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Funguni…
8 March 2021, 2:01 pm
Sauti za Wanawake tu Kusikika Pangani FM.
Kila ifikapo Machi 8 Dunia huadhimisha siku ya Kimataifa ya Wanawake Siku hii huadhimishwa kwa namna mbalimbali Ulimwenguni ikiwa na Lengo la kutambua mchango wa Mwanamke katika Nyanja mbalimbali. Katika kuzingatia hili Sauti za Watangazaji wa kike tu ndio zitasikika…
6 March 2021, 9:26 pm
Unafanya Kilimo?Unategemea Kilimo? Sikiliza hapa.
Upo umuhimu mkubwa wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa kwa ajili ya shughuli za Kilimo,Uvuvi,Ufugaji na kwa maisha ya kila siku. Taarifa hizi hutolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini TMA kupitia mbalimbali vya Habari ikiwemo Pangani FM…
5 March 2021, 10:49 pm
Wanawake Pangani waadhimisha siku ya Maombi.
Wanawake wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wilayani Pangani mkoani Tanga leo wameshiriki katika maadhimisho ya siku ya maombi ya Wanawake duniani yenye lengo la kuombea Amani na mambo mengine. Akizungumza na PANGANI FM mchungaji FELIX ELIASI MSUMARI wa kanisa la…
5 March 2021, 9:38 pm
Angalizo la Upepo Mkali lawafikia wavuvi Pangani.
Kufuatia Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania TMA hapo jana kutoa angalizo la uwepo wa vipindi vya upepo mkali unaofikia kilimita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia ukubwa wa mita 200 kuanzia tarehe 4 hadi 8 mwezi wa…
2 March 2021, 3:25 pm
Sekondari ya Funguni yajipanga kuongeza Ufaulu 2021
Katika kuhakikisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Funguni iliyopo Wilayani Pangani Mkoani Tanga wanafanya vizuri katika matokeo yao ya kidato cha pili na cha nne kwa mwaka 2021, Uongozi wa shule hiyo umekutana na wazazi, walezi pamoja na viongozi…
2 March 2021, 11:19 am
TANGA UWASA Kufufua Visima vya Maji Pangani.
Mamlaka ya usimamizi wa Maji Wilayani Pangani kupitia TANGA UWASA imejipanga katika uboreshaji wa miundombinu ya umeme ili kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji wilayani hapa. Hayo yameelezwa na Meneja wa maji TANGA UWASA Ndugu JOHN FUSSI wakati akizungumza na…
1 March 2021, 1:25 pm
Ofisi ya Mbunge Pangani yazionya Bodi za Maji.
Uongozi wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga umezionya Bodi za Maji Wilayani humo juu ya swala la kusuasua kwa Miradi ya Maji kwenye maeneo yao. Akizungumza na PANGANI FM Mwishoni mwa wiki iliyopita moja ya viongozi waandamizi…
22 February 2021, 8:14 pm
Viwanda Mkoani Tanga vyatakiwa kuzingatia Sheria ya Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira, Mh Ummy Mwalimu leo amefanya ziara katika jiji la Tanga ambapo amehimiza utunzaji wa Mazingira hususani kwa kuvitaka Viwanda kujiepusha na uchafuzi wa Mazingira. Akziungumza katika Ofisi ya Mkuu…