Pangani FM

Recent posts

2 February 2021, 9:14 pm

Waziri Ummy Mwalimu: NEMC ongezeni kasi ya kutoa Elimu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kuongeza kasi ya utoaji elimu kwa umma ili kuwasaidia wenye viwanda na wawekezaji kuzingatia Sheria…

2 February 2021, 8:38 pm

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani yaanzisha ‘Benki ya Matofali’

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imeanzisha kampeni maalum ya ‘Benki ya matofali’ kwa lengo kuwezesha kila kijiji kuandaa matofali kwa ajili ya miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani BW…

1 February 2021, 7:16 pm

Viongozi wa Dini watakiwa kuendelea kukemea vitendo vya Ukatili.

Viongozi wa dini wilayani Pangani wametakiwa kuendelea kukemea vitendo vya ukatili katika jamii. Akizungumza kwenye maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama  Katibu tawala wa wilaya kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ,Mwalimu Hassani Nyange amehimiza juu…

26 January 2021, 12:18 pm

Uhusiano kati ya Chakula Shuleni na Utoro.

Ukosefu wa chakula cha uhakika katika shule za msingi na Sekondari hapa Wilayani Pangani mkoani Tanga unatajwa kuchangia utoro kwa wanafunzi. Hayo yamesemwa na Afisa Elimu Msingi Wilayani hapa ndugu JUMA HASSANI MBOHELA katika kikao cha kamati ya lishe ya…

25 January 2021, 6:26 pm

Siri ya Wakandarasi kutumia vibarua toka nje ya Pangani yatajwa.

Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga hususani vijana wametakiwa kuchangamkia fursa za miradi ya ujenzi inayotekelezwa wilayani humo badala ya kukaa vijiweni na kuchagua kazi. Wito huo umetolewa kwa vijana ili kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kuimarisha mapato ya Halmashauri Hayo yamesemwa…

21 January 2021, 2:51 pm

Bima ya Afya CHF: Wigo umeongezwa sasa huduma hadi nje ya Halmashauri.

Wananchi wamehimizwa kujiunga kwa wingi katika Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii CHF iliyoboreshwa ili wapate vitambulisho vitakavyowasaidia kupata matibabu kwa mwaka mzima katika vituo vya kutolea huduma za Afya ikiwemo na Hospitali za Rufaa. Hayo yamesemwa leo na…

18 January 2021, 12:37 pm

Marufuku kutumia viti vya Wanafunzi kwenye Mikutano ya Vijiji Pangani.

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imepiga Marufuku Matumizi yaViti na Madawati ya Shule kwenye Mikutano ya Viijiji. Katazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje wakati akizungumza na Kituo hiki, ambapo…