Pangani FM

Recent posts

2 March 2021, 3:25 pm

Sekondari ya Funguni yajipanga kuongeza Ufaulu 2021

Katika kuhakikisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya  Funguni iliyopo Wilayani Pangani Mkoani Tanga wanafanya vizuri katika matokeo yao ya kidato cha pili na cha nne kwa mwaka 2021, Uongozi wa shule hiyo umekutana na wazazi, walezi pamoja na viongozi…

2 March 2021, 11:19 am

TANGA UWASA Kufufua Visima vya Maji Pangani.

Mamlaka ya usimamizi wa Maji  Wilayani Pangani kupitia TANGA UWASA imejipanga katika uboreshaji wa miundombinu ya umeme ili kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji wilayani hapa. Hayo yameelezwa na Meneja wa maji TANGA UWASA Ndugu JOHN FUSSI wakati akizungumza na…

1 March 2021, 1:25 pm

Ofisi ya Mbunge Pangani yazionya Bodi za Maji.

Uongozi wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga umezionya Bodi za Maji Wilayani humo  juu ya swala la kusuasua kwa Miradi ya Maji kwenye maeneo yao. Akizungumza na PANGANI FM  Mwishoni mwa wiki iliyopita moja ya viongozi waandamizi…

22 February 2021, 8:14 pm

Viwanda Mkoani Tanga vyatakiwa kuzingatia Sheria ya Mazingira.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira, Mh Ummy Mwalimu leo amefanya ziara katika jiji la Tanga ambapo amehimiza utunzaji wa Mazingira hususani kwa kuvitaka Viwanda kujiepusha na uchafuzi wa Mazingira. Akziungumza katika Ofisi ya Mkuu…

8 February 2021, 1:09 pm

Wazazi wa Wanafunzi waombwa kufanikisha upatikanaji wa Chakula.

Wazazi na walezi wa wanafunzi wa shule za msingi wilayani Pangani Mkoani Tanga wameombwa kufanikisha utaratibu wa kambi ya kutwa kwa wanafunzi wa darasa la saba kwa kutoa michango ya chakula katika kambi hizo. Ombi hilo limetolewa na Afisa Elimu…

5 February 2021, 7:57 pm

Miaka 44 ya CCM yajivunia mambo haya Pangani.

Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga katika kuadhimisha miaka 44 ya chama hicho kimeeleza mafanikio yake katika kuisimamia serikali. Akizungumza na Pangani FM Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Wilaya BW RAJABU ABRAHAMAN amesema chama hicho kinajivunia…

5 February 2021, 1:45 pm

Wanaume watakiwa kuvunja ukimya vitendo vya Ukatili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wanaume kutoa taarifa kwenye mamlaka husika kuhusu ukatili wanaofanyiwa ili kutokomeza matukio ya ukatili nchini. Dkt. Gwajima ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma alipotoa tamko kuhusu…

4 February 2021, 7:55 pm

Baraza la Wazee Tanga rasmi, Pangani ina wazee wachache zaidi.

WATUMISHI wa ngazi zote mkoani Tanga wameaswa kuacha kudharau na kuwanyanyapaa wazee pindi wanapofuata huduma kwenye ofisi zao badala yake kuwanyenyekea na kuwapa kipaumbele ili kupata Baraka. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Martin Shigela wakati akizindua…