Recent posts
30 March 2026, 13:48
Ushongo wapaa kwa ufaulu, kambi yachangia
Kupitia ushirikiano wa kamati hizo wanafunzi wanafanya vizuri darasani kwakuwa wanapatiwa chakula shuleni. Na Majabu Madiwa Ushirikiano wa kamati za Mtakuwa, kamati ya shule na Kamati ya BMU katika kijiji cha Ushongo wilayani Pangani mkoani Tanga umetajwa kuongeza ufaulu wa…
27 March 2026, 13:50
Tanga waaswa kutowanyanyapaa wenye matatizo ya afya ya akili
“Hapa kwetu tuna vituo 33 vya kutolea matibabu ya afya ya akili, ambavyo vinajumuisha vituo vyote vya kutolea huduma za afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi hospital“ Na Mwandishi Wetu Wananchi katika wilaya ya Tanga, mkoani Tanga wameaswa kuepuka kutumia…
24 March 2026, 22:04
Pangani yajizatiti kudhibiti TB
Wataalam wa afya katika zahanati na vituo vya afya wilayani Pangani watakuwa wakipima watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa kifua kikuu ili waanzishiwe dawa mapema pale watakapobainika. Na Saa Zumo Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kifua Kikuu hii…
19 March 2026, 23:39
Ireland wafurahishwa, UZIKWASA kuvifikia vikundi vya kijamii Handeni
“Tunaomba maafisa maendeleo ya jamii kata zote kutoa ushirikiano na wilaya tunaomba muwe na kipaumbele kusimamia mradi huu” Bi Oliver Na Cosmas Clement Wawakilishi kutoka Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania wamesema wameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuongeza uwezo kwa…
17 March 2026, 19:19
Pangani kuvunja rekodi upandaji miti
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani imesema inatarajia kuvuka lengo la serikali la kupanda miti mil. 1.5 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Wiki ya Upandaji Miti Duniani ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Cosmas Clement Akizungumza…
17 March 2026, 19:03
Wananchi waaswa kuacha shughuli za kiuchumi karibu na vyanzo vya maji
Wananchi wa wilaya ya Pangani na maeneo yanayozungukwa na bonde la mto Pangani wametakiwa kulinda vyanzo vya maji kwa kuacha kufanya shughuli za kibinadamu karibu na kingo za mto na maeneo ya vyanzo vingine vya maji. Na Cosmas Clement Hayo…
17 March 2026, 12:34
Rushwa yakwamisha kesi wilayani Handeni
Rushwa inatajwa kuchangia kukwamisha kesi za ukatili wa kijinsia kata ya Kabuku Wilayani Handeni mkoani TANGA. Na Saa Zumo Hayo yamezungumzwa na baadhi ya wajumbe wa kamati zya MTAKUWWA kata ya Kabuku wilayani Handeni ambapo wamesema wanakumbana na ugumu wa…
12 March 2026, 21:27
Soko lililokwama kwa zaidi ya miaka 10 Pangani sasa kukamilika
“Huku ni kuwarudisha nyuma wananchi na kuwavunja moyo waliacha kazi zao na kuchimba msingi wakiamini wanatengeneza kitu cha kuwasaidia lakini mpaka sasa malengo hayajatimia, lazima tuwasaidie wananchi kutatua changamoto zao, soko hili likikamilika wananchi wataongeza kipato chao na hayo ndiyo…
10 March 2026, 19:12
Taka, dhahabu iliyojificha na nyenzo kukabiliana na hewa ukaa
“Tunalishukuru shirika la UZIKWASA kwa kutupa mafunzo haya ya udhibiti wa taka, kwakuwa yametusaidia kutengeneza mkaa mbadala kupitia maganda ya ndizi kwasasa mazingira yetu ni safi” Na Cosmas Clement Baadhi ya vijana kutoka vijiji vya wilaya ya Pangani wamelipongeza shirika…
9 March 2026, 13:58
Mbunge wa Jimbo la Pangani akabidhi photocopy machine ya milion 8
Na Cosmas Clement Mbunge wa jimbo la Pangani na waziri wa maji Mhe. Juma Hamidu Aweso hii leo amekabidhi mashine moja ya kudurufu nakala (photocopy machine) yenye thamani ya shilingi milioni nane kwa shule ya sekondari Muhembo iliyopo kijiji cha…