Recent posts
3 June 2024, 5:34 pm
Maswa:Ni matusi kuwaita watoto majina ya ujombani
“Migogoro ya ndoa na mipalanganyiko yakimahusiano imeendelea kuwa na athari kwa malezi na makuzi ya mtoto nchini hali inayopelekea watoto wengi kukosa haki zao za msingi.” Na,Daniel Manyanga Wanawake na mabinti wametakiwa kuwaita watoto wao majina halisi ya baba zao…
31 May 2024, 7:16 pm
RC Nawanda aagiza halmashauri kutenga bajeti ya michezo mashuleni
Utengaji wa bajeti ya ununuzi wa vifaa vya michezo mashuleni utaongeza wanamichezo hivyo kutengeneza ajira nyingi na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Na.Daniel Manyanga Mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt.Yahaya Nawanda ameziagiza halmashauri zote mkoani…
29 May 2024, 3:04 pm
TRA watoa siku 14 wafanyabiashara kuwa na mashine za EFD Maswa
Ukikwepa kulipa kodi maana yake umekubali kuliingizia hasara Taifa lako na kupelekea kudumaza shughuli za kimaendeleo tulipeni kodi kwa hiari kwa kutoa EFD mashine kwa waliokidhi vigezo. Na,Daniel Manyanga Mamlaka ya mapato nchini TRA wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imetoa…
28 May 2024, 5:03 pm
TRA yatoa elimu kwa wafanyabiashara ulipaji kodi kwa hiari
Wafanyabiashara wilayani Maswa wamepewa elimu ya ulipaji kodi kwa hiari ili kujenga uchumi wa nchi, pia kikao hicho kimehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe Aswege Kaminyoge na maafisa wa TRA kutoka wilayani hapo na mkoa. Mamlaka ya Mapato …
26 May 2024, 10:27 am
Maswa kuchanja ng’ombe zaidi ya laki 2
Zoezi la chanjo ya mifugo ni muhimu sana kwa wafugaji hivyo kila diwani akawe balozi kwenye eneo lake ili kuhamasisha waitikie kuchanja Mifugo yao ili kujikinga na Ugonjwa wa Mapafu “Maisha Mtipa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Maswa” Halmashauri …
21 May 2024, 12:34 pm
Wawili wafariki kwa ugonjwa wa kuhara, kutapika Maswa
Usafi siyo kuvaa nguo nzuri tu bali usafi ni kuwa na choo kizuri ambapo kinakufanya uweze kuwa salama na magonjwa ya mlipuko leo hii kesi nyingi za kuhara na kutapika ni kukosa vyoo sasa hatutawavumilia wale wasiokuwa na vyoo. Na,…
19 May 2024, 5:52 pm
Wanane mikononi mwa polisi kwa dawa za kulevya Simiyu
Hatutasita kukuchukulia hatua kali za kisheria kwa wale ambao wanajihusisha na uhalifu maana mkono wa serikali ni mrefu hivyo njia sahihi ni kuachana na vitendo vya uhalifu Na, Daniel Manyanga Jeshi la polisi mkoani Simiyu linawashikilia watu wanane kwa tuhuma…
18 May 2024, 6:20 pm
Wananchi mjini Maswa na vijiji 15 kukosa maji kwa siku mbili
Mpango wa kuwapatia maji safi na salama ni sera ya wizara ya maji hivyo jukumu la kukosekana kwa huduma ya maji kwa wananchi pindi usafi au kutibu maji ni kuboresha huduma hiyo. Na, Daniel Manyanga Wananchi mjini Maswa na vijiji…
17 May 2024, 11:56 am
Maswa kuvuna pamba chini ya lengo
Kutokana na mvua kuwa kubwa kunyesha msimu huu wa kilimo kwa mwaka 2023/2024 zilizopelekea mavuno ya pamba kushuka wilaya ya Maswa inatarajia kukusanya mapato chini ya makadirio ya awali. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya tani elfu ishirini na mbili za…
15 May 2024, 8:57 pm
Msimu wa ununuzi wa pamba 2024/2025 Wazinduliwa rasmi Maswa
Mkuu wa Wilaya ya Maswa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mazao amezindua msimu wa ununuzi wa pamba 2024/2025 Wilayani hapa na kuzitaka kampuni zote zinayodaiwa ushuru wa musimu uliopita hazitaruhusiwa kuanza kununua kabla ya kulipa madeni yao. Msimu wa Ununuzi …
14 May 2024, 5:30 pm
Roundabout kumaliza ajali za barabarani Lamadi
Barabara ya mzunguko ilichelewa sana kuwepo na huenda ajali za barabarani zisingekuwepo au kuwepo lakini kwa kiwango cha chini tofauti na hivi sasa. Na, Daniel Manyanga Kukamilika kwa barabara ya mzunguko (roundabout) inayounganisha barabara za Lamadi Bariadi,Mwanza na Mara kunatajwa…
14 May 2024, 9:34 am
Bei ya pamba haina tija kwa wakulima wa Bariadi
Kutokana na bei ya pamba kuwa ndogo katika msimu wa kilimo wa mwaka 2024/25 iliyotangazwa mkoani Shinyanga wakulima wameanza kuangalia namna ya kuachana na kilimo hicho. Na, Daniel Manyanga Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu…
8 May 2024, 4:16 pm
RUWASA Maswa yatakiwa kusajili pikipiki kwa namba za serikali
Vyombo vya watoa huduma wa maji ngazi ya jamii wilayani Maswa vimesaidia upatikanaji wa maji vijijini kutoka asilimia 68.9 hadi 74 na ifikapo 2025 kufikia asilimia 85. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Aswege Kaminyoge amemtaka…
7 May 2024, 7:54 pm
DC Maswa akabidhi pikipiki kwa CBWSOs
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh. Aswege Kaminyoge amewataka viongozi wa CBWSOs zilizogawiwa pikipiki kuzitumia katika malengo yaliyokusudiwa ili kuleta mabadiliko katika utoaji wa huduma za maji na siyo shughuli binafsi zisizo na tija. Na Nicholaus Machunda Mkuu wa Wilaya …
7 May 2024, 7:33 pm
Zaidi ya kaya 413 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko Busega
Faida ya kufuatilia taarifa za mamlaka ya hali ya hewa kumetajwa kusaidia kujikinga na kuepuka madhara yatokanayo na mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini. Na Daniel Manyanga Kaya zaidi 413 kutoka vitongoji vitatu vya Itongo, Lamadi na…
6 May 2024, 5:49 pm
Maswa queens na Raha queens hakuna mbabe Simiyu
Utamu wa ligi ya wanawake Simiyu wafikia pazuri huku vipaji vya mpira wa miguu kwa wanawake vikiibuliwa na kupelekea wazazi na walezi wa vijana wa kike kuhamasisha mabinti zao kucheza mpira wa miguu Na,Paul Yohana Fainali ya kwanza ligi ya…
6 May 2024, 11:22 am
Wazazi wa kidigitali ni chanzo cha ukatili kwa watoto Maswa
Kushiriki kikamilifu kwa wazazi na walezi kumetajwa kumaliza ukatili kwa watoto ambao wanafanyiwa ukatili katika jamii zao hasa mtoto kuanzia kipindi cha ujauzito hadi kufikia umri wa miaka (8). Na Alex.F.Sayi Imebainishwa kuwa wazazi na walezi wamekuwa chanzo cha ukatili…
3 May 2024, 3:58 pm
Mikopo umiza ni ugonjwa mwingine kwa watumishi wa umma Simiyu
Ubunifu wa kufanya kazi nyingine tofauti ile ambayo umeajiriwa ni njia pekee inayoweza kuwakomboa watumishi wa umma na kuondokana na mikopo umiza ambao ni ugonjwa mwingine hatari. Na,Daniel Manyanga Kaimu mkuu wa mkoa wa Simiyu Bi.Anna Gidarya amewataka watumishi wa…
30 April 2024, 7:04 pm
Miti million moja na nusu kurejesha uoto wa asili Maswa
Maswa kurejesha uoto wa asili kwa zoezi endelevu la upandaji miti ili kuhakikisha wilaya inatunza vyanzo vya maji nakuifanya Maswa kuwa ya kijani. Na,Poul Yohana Halmashauri ya wilayani Maswa mkoani Simiyu imepanda miti 252 katika jengo la wanafunzi wenye mahitaji…
29 April 2024, 5:41 pm
Mvua yageuka kilio kwa wakulima wa pamba Bariadi
Licha ya mvua kuwa na faida lakini kwa wakulima wa pamba Bariadi imegeuka kilio hadi kufikiria kulima mazao mengine ili kujikomboa kiuchumi kutokana na mavuno ya pamba kuwa chini msimu huu. Na, Daniel Manyanga Wakulima wa zao la pamba halmashauri…