Sibuka FM

Recent posts

12 June 2024, 4:20 pm

Mboje wa Singida atupwa jela miaka 30,faini ya laki tatu kwa kubaka Maswa

“Ukatili wa kijinsia umetajwa vyanzo vya matatizo ya kisakolojia kwa wahanga hivyo sheria ziwe na makali kwa mtuhumiwa hali ambayo itaweza kupunguza au kumaliza ukatili.” Na, Daniel Manyanga  Mahakama  ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu, Mboje Paul (28) mkazi…

10 June 2024, 5:47 pm

Watembea umbali wa kilomita 35 kufuata huduma za TRA mjini Maswa

“Tunaomba sana elimu ya mlipa kodi kwa wafanyabiashara itolewe kwa upana wake na mara kwa mara ili tuweze kulipa kodi kwa hiari hali itakayoweza kujenga urafiki na TRA.” Na, Daniel Manyanga Wafanyabiarasha wa Mji mdogo Malampaka wilayani Maswa mkoani Simiyu…

7 June 2024, 11:15 am

DC Simalenga awapa za uso wakulima makanjanja wa pamba

“Msimu ujao wa kilimo hatutaruhusu mkulima yeyote kuchukua mbegu na viatilifu bila kuonesha shamba lake alilolima ili kuondoa wakulima makanjanja katika zao hilo” Na, Daniel Manyanga Serikali wilayani Bariadi mkoani Simiyu imebaini uwepo wa ekari elfu arobaini hewa za zao…

4 June 2024, 5:43 pm

Maji ya sumu mgodini yatishia usalama wa mifugo, wananchi Busega

“Serikali bila watu hakuna utakachokifanya hivyo niseme serikali ni watu ndiyo ni kweli tunahitaji mapato kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini lakini linapokuja suala la afya za wananchi hakuna umuhimu wa madini.” Na, Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya…

3 June 2024, 5:34 pm

Maswa:Ni matusi kuwaita watoto majina ya ujombani

“Migogoro ya ndoa na  mipalanganyiko yakimahusiano imeendelea kuwa na athari kwa malezi na makuzi ya mtoto nchini hali inayopelekea watoto wengi kukosa haki zao za msingi.” Na,Daniel Manyanga Wanawake na mabinti wametakiwa kuwaita watoto wao majina halisi ya baba zao…

31 May 2024, 7:16 pm

RC Nawanda aagiza halmashauri kutenga bajeti ya michezo mashuleni

Utengaji wa bajeti ya ununuzi wa vifaa vya michezo mashuleni utaongeza wanamichezo hivyo kutengeneza ajira nyingi na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Na.Daniel Manyanga  Mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt.Yahaya Nawanda ameziagiza halmashauri zote mkoani…

29 May 2024, 3:04 pm

TRA watoa siku 14 wafanyabiashara kuwa na mashine za EFD Maswa

Ukikwepa kulipa kodi maana yake umekubali kuliingizia hasara Taifa lako na kupelekea kudumaza shughuli za kimaendeleo tulipeni kodi kwa hiari kwa kutoa EFD mashine kwa waliokidhi vigezo. Na,Daniel Manyanga  Mamlaka ya mapato nchini TRA wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imetoa…

28 May 2024, 5:03 pm

TRA yatoa elimu kwa wafanyabiashara ulipaji kodi kwa hiari

Wafanyabiashara wilayani Maswa wamepewa elimu ya ulipaji kodi kwa hiari ili kujenga uchumi wa nchi, pia kikao hicho kimehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe Aswege Kaminyoge na maafisa wa TRA kutoka wilayani hapo na mkoa. Mamlaka  ya  Mapato …

26 May 2024, 10:27 am

Maswa kuchanja ng’ombe zaidi ya laki  2

Zoezi la chanjo ya mifugo ni muhimu sana kwa wafugaji hivyo kila diwani akawe balozi kwenye eneo lake ili kuhamasisha waitikie kuchanja Mifugo yao ili kujikinga na Ugonjwa wa Mapafu “Maisha Mtipa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Maswa” Halmashauri …

21 May 2024, 12:34 pm

Wawili wafariki kwa ugonjwa wa kuhara, kutapika Maswa

Usafi siyo kuvaa nguo nzuri tu bali usafi ni kuwa na choo kizuri ambapo kinakufanya uweze kuwa salama na magonjwa ya  mlipuko leo hii kesi nyingi za kuhara na kutapika ni kukosa vyoo sasa hatutawavumilia wale wasiokuwa na vyoo. Na,…

19 May 2024, 5:52 pm

Wanane mikononi mwa polisi kwa dawa za kulevya Simiyu

Hatutasita kukuchukulia hatua kali za kisheria kwa wale ambao wanajihusisha na uhalifu maana mkono wa serikali ni mrefu hivyo njia sahihi ni kuachana na vitendo vya uhalifu Na, Daniel Manyanga  Jeshi la polisi mkoani Simiyu linawashikilia watu wanane kwa tuhuma…

18 May 2024, 6:20 pm

Wananchi mjini Maswa na vijiji 15 kukosa maji kwa siku mbili

Mpango wa kuwapatia maji safi na salama ni sera ya wizara ya maji hivyo jukumu la kukosekana kwa huduma ya maji kwa wananchi pindi usafi au kutibu maji ni kuboresha huduma hiyo. Na, Daniel Manyanga  Wananchi mjini Maswa na vijiji…

17 May 2024, 11:56 am

Maswa kuvuna pamba chini ya lengo

Kutokana na mvua kuwa kubwa kunyesha msimu huu wa kilimo kwa mwaka 2023/2024 zilizopelekea mavuno ya pamba kushuka wilaya ya Maswa inatarajia kukusanya mapato chini ya makadirio ya awali. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya tani elfu ishirini na mbili za…

14 May 2024, 5:30 pm

Roundabout kumaliza ajali za barabarani Lamadi

Barabara ya mzunguko ilichelewa sana kuwepo na huenda ajali za barabarani zisingekuwepo au kuwepo lakini kwa kiwango cha chini tofauti na hivi sasa. Na, Daniel Manyanga  Kukamilika kwa barabara ya mzunguko  (roundabout) inayounganisha barabara za Lamadi Bariadi,Mwanza na Mara kunatajwa…

14 May 2024, 9:34 am

Bei ya pamba haina tija kwa wakulima wa Bariadi

Kutokana na bei ya pamba kuwa ndogo katika msimu wa kilimo wa mwaka 2024/25 iliyotangazwa mkoani Shinyanga wakulima wameanza kuangalia namna ya kuachana na kilimo hicho. Na, Daniel Manyanga Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu…

8 May 2024, 4:16 pm

RUWASA Maswa yatakiwa kusajili pikipiki kwa namba za serikali

Vyombo vya watoa huduma wa maji ngazi ya jamii wilayani Maswa vimesaidia upatikanaji wa maji vijijini kutoka asilimia 68.9 hadi 74 na ifikapo 2025 kufikia asilimia 85. Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Aswege Kaminyoge amemtaka…

7 May 2024, 7:54 pm

DC Maswa akabidhi pikipiki kwa  CBWSOs

Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh. Aswege Kaminyoge amewataka viongozi wa CBWSOs zilizogawiwa pikipiki kuzitumia katika malengo yaliyokusudiwa ili kuleta mabadiliko katika utoaji wa huduma za maji na siyo shughuli binafsi zisizo na tija. Na Nicholaus Machunda Mkuu  wa  Wilaya …

7 May 2024, 7:33 pm

Zaidi ya kaya 413 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko Busega

Faida ya kufuatilia taarifa za mamlaka ya hali ya hewa kumetajwa kusaidia kujikinga na kuepuka madhara yatokanayo na mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini. Na Daniel Manyanga  Kaya zaidi  413 kutoka vitongoji  vitatu vya Itongo, Lamadi na…

6 May 2024, 5:49 pm

Maswa queens na Raha queens hakuna mbabe Simiyu

Utamu wa ligi ya wanawake Simiyu wafikia pazuri huku vipaji  vya mpira wa miguu kwa wanawake vikiibuliwa na kupelekea wazazi na walezi wa vijana wa kike kuhamasisha mabinti zao kucheza mpira wa miguu Na,Paul Yohana Fainali ya kwanza  ligi ya…