Recent posts
18 December 2023, 9:40 am
Maafisa tarafa, VEO na WEO kusimamia uandikishaji wa wanafunzi Maswa
Zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wanaoanza masomo katika mwaka masomo 2024 kwa elimu ya msingi na sekondari lipo chini ya afisa tarafa, watendaji wa kata na vijiji kwa kushirikiana kwa ukaribu na wenyeviti wa vijiji na vitongoji. Na Daniel Manyanga…
16 December 2023, 12:01 pm
DC Maswa: Wananchi tunzeni vyanzo vya maji
Wadau wa maji na Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji ili kuweza kukabiliana na ukame unaosababishwa na shughuli za kijamii pamoja na mabadiliko ya tabia nchi Na Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mhe.Aswege Kaminyoge amewataka Wananchi…
13 December 2023, 1:37 pm
Kanisa kushiriki ujenzi wa makaravati Maswa
Zaidi ya  Sh.Mil,15 kutumika kufanya Ujenzi wa Karavati(3)kwenye baadhi ya mitaa  Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Na Alex Sayi Kanisa la Repentence Pentacost Mission Church of Tanzania (RPMT) limekabidhi karavati moja lenye gharama ya zaidi ya Sh.Mil 5 kati ya madaraja…
11 December 2023, 6:56 pm
Maswa:Wanawake bado niwaathiria wa vitendo vya ukatili wakijinsia.
Takwimu zimeonyesha kuwa bado kuna idadi kubwa ya wanawake wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Na Alex Sayi. Imebainishwa kuwa Wanawake Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wameendelea kuwa waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa mujibu wa Takwimu…
6 December 2023, 8:27 pm
Jaccafo yafanya maadhimisho ya watu wenye ulemavu Maswa
Jamii wilayani Maswa imeaswa kuwafichua watoto wenye ulemavu waliofungiwa majumbani ili waweze kuzifikia ndoto zao kielimu, kiuchumi na kijamii. Na Alex Sayi Shiriki lisilo la kiserikali la Juniors and Child Care Foundation (JACCAFO) limefanya maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani…
2 December 2023, 7:44 am
Kamati ya siasa Maswa yaridhishwa utekelezaji miradi ya maendeleo
Kamati ya Siasa ya chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Maswa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Onesmo Makota Imetembelea na Kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa katika Jimbo la Maswa Magharibi. Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa na Kamati hiyo …
28 November 2023, 2:55 pm
Maswa: Wazazi waaswa kuwasomesha watoto elimu ya ufundi
Wazazi waaswa kuwasomesha Watoto wao Elimu ya Ufundi ili kukabiliana na obwe la ukosefu wa ajira uliopo Serikalini kwa hivi sasa. Na,Alex Sayi. Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi Mashimba Ndaki amewaasa wazazi/walezi kuwasomesha watoto wao Elimu ya Ufundi ili…
19 November 2023, 5:37 pm
CCWT kuanza usajili wafugaji kwa njia ya kielektronik
Chama Cha Wafugaji Taifa (CCWT) ziarani nchi nzima kuhamasisha wafugaji kujisajili kwa njia ya kielektronik ili wafugaji hao wawe na chombo cha kuwaunganisha na kutatua matatizo yao. Na Alex Sayi. Chama Cha Wafugaji Taifa kimeendelea na ziara nchi nzima kwa…
19 November 2023, 4:58 pm
RUWASA yakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi, wataalam
(RUWASA) ndani ya miaka miwili ya utawala wa awamu ya sita wa Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutoa huduma ya maji vijijini kwa asilimia 74. Na Alex Sayi Wakala wa Maji Safi na Mazingira Vijijini wilayani Maswa mkoani Simiyu RUWASA umebainisha…
19 November 2023, 4:37 pm
Madiwani Maswa wakerwa na majibu ya TARURA
 TARURA wilayani Maswa mkoani Simiyu inayohudumia mtandao wa barabara wenye jumla ya Km 184.2 na iliyofikia 77% ya Barabara zinazopitika kwa nyakati zote za msimu sawa na km 837.39 imelalamikiwa kwakushindwa kupeleka  kwa wakati wakandarasi kwenye baadhi ya Barabara Wilayani…
16 November 2023, 8:38 pm
DC Maswa atekeleza agizo la Makonda, akabidhi ng’ombe 20
Na Nicholaus Machunda Mkuu wa  wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mh. Aswege Kaminyoge  ametekeleza  agizo lililotolewa  na  Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa katika ziara yake wilayani Busega la kumkabidhi  Felister Jayunga  mama aliyeibiwa ng’ombe  wake. Mwenyekiti …
16 November 2023, 8:22 pm
DC Maswa aonya wanaohujumu miundombinu ya maji
Na Nicholaus Machunda Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu  Mh, Aswege Kaminyoge ameonya wananchi wanaohujumu miundombinu ya maji yanayotoka Ziwa Viktoria kuja kata ya Sengwa iliyopo wilayani  hapa kupitia wilaya ya Kishapu. Mh Kaminyoge amesema hayo wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ilipotembelea mradi huo ambao umekuwa ukihujumiwa mara kwa mara …
13 November 2023, 4:58 pm
Kamati ya bunge yaridhishwa mradi hatimiliki Maswa
Mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi vijijini unaotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu unatarajia kutoa hatimiliki 100,000 kwa wananchi. Na Alex Sayi Kamati ya kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhika na utekelezaji wa…
13 November 2023, 9:24 am
Serengeti safari marathon kuunga mkono royal tour
Mamia ya watanzania wajitokeza kushiriki mbio za Serengeti Safari Marathon kuunga mkono juhudi za Rais Samia za Royal Tour. Na Alex Sayi Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Vicent Naano amesema kuwa mbio za Serengeti Marathon zinaendelea kuunga mkono…
1 November 2023, 11:52 am
18 wagundulika na kipindupindu Maswa,  mmoja afariki dunia
Na Nicholaus Machunda Watu 18 wamegundulika na ugonjwa wa kipindupindu wilayani Maswa mkoani Simiyu huku mmoja akifariki dunia kutokana na ugonjwa huo. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Elimu ya Afya kwa Umma  Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Bi, Salma Mahizi wakati …
30 October 2023, 5:19 pm
Rc Simiyu aonya Wanaume wanaonyemelea Wanafunzi wa Kike na kukat…
Na Nicholaus Machunda Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda amewaonya Wanaume wote wanaotongoza Wanafunzi na kuwapatia Ujauzito unaopelekea kukatisha ndoto zao za Masomo. RC Nawanda amesema hayo katika Ziara yake Wilayani Maswa ya kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo …
26 October 2023, 5:48 pm
Maswa:Kinamama waaswa kuchangamkia fursa za ufugaji wa samaki
Kinamama toka jamii za wafugaji wameaswa kujiunga na chama cha wafugaji ili waweze kujikwamua kiuchumi. Na Alex Sayi. Chama cha wafugaji Wilayani Maswa Mkoani Simiyu kimetoa wito kwa wanawake wanaoishi kwenye jamii za wafugaji kuchangamkia fursa za ufugaji wa Samaki…
8 October 2023, 9:24 am
CCWT, benki kuingia makubaliano ya kukopesha wakulima, wafugaji
Vijana wasomi nchini wametakiwa kubadili fikra za kuendelea kusubiri kuajiriwa serikalini na badala yake wachangamkie fursa za ajira  zaidi ya 500,000 zilizopo kwenye sekta ya kilimo na ufugaji. Na Alex Sayi Chama Cha Wafugaji Tanzania CCWT kimebainisha kuwa kinaendelea na…
6 October 2023, 7:30 am
Mwashegeshi wamkataa afisa mtendaji wa kijiji
Maafisa watendaji wa kata wilayani Maswa wametakiwa kuitisha vikao vya vitongoji, vijiji na kata vilivyopo kisheria ili kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Na Alex Sayi Maswa Simiyu Wananchi na wakazi wa kijiji cha Mwashegeshi kata ya Nguliguli wamemuomba mkuu…
27 September 2023, 8:11 am
Maswa: Wakurugenzi wa Halmashauri Mkoani Simiyu watakiwa kutenga Bajeti ya Elimu…
Wasichana wapatao (222) Mkoani Simiyu wamefanikiwa kuendelea na masomo yao ya Elimu ya Sekondary Mbadala baada ya kujifungua. Na Alex Sayi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt,Yahaya Nawanda amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote Mkoani hapa kuhakikisha wanatenga bajeti kwa ajili…