Recent posts
13 March 2024, 10:44 am
Rais atoa zana za kilimo Maswa kuongeza uzalishaji wa pamba
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh Aswege Kaminyoge  amemshukuru  Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zana za kilimo kwa wakulima wa kata ya Senani ili kumsaidia mkulima katika kuongeza tija katika zao la pamba. DC Kaminyoge ametoa shukrani hizo wakati wa kuzindua zana…
11 March 2024, 5:43 pm
Ongezeko la mamba mto Simiyu latishia maisha ya wananchi
Na,Alex Sayi-Simiyu Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania TAWA Kanda ya Ziwa, wabainisha kuwa  uwepo wa mtawanyiko wa Maji kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha kwa hivi sasa kumechangia ongezeko la Mamba mto Simiyu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi wanaoishi karibu na…
10 March 2024, 8:38 am
Red Cross: Mwanamke ni nguzo muhimu kwa taifa
Chama cha msalaba mwekundu mkoani Simiyu kimesherekea siku ya Wanawake duniani kwa kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Maswa katika kutambua na kuthamini mchango wa Wanawake katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo nchini. Na,Paul Yohana Katika kuenzi na kuthamini mchango…
1 March 2024, 8:07 pm
96 wahitimu mafunzo ya udereva Maswa
Jumla ya maafisa usafirishaji 96 wamepatiwa  vyeti vya udereva na  leseni za uendeshaji vyombo vya moto ikiwemo pikipiki na magari madogo baada ya kufuzu mafunzo ya uendeshaji wa vyombo hivyo. Akikadhi vyeti  hivyo  na leseni , Mkuu wa Wilaya ya …
1 March 2024, 5:03 pm
Wanawake jamii ya kihadzabe Meatu waomba msaada wa Rais Samia
Jamii ya kihadzabe inayoishi pembezoni mwa pori la hifadhi Makao Wilayani Meatu Mkoani Simiyu yahofia kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na,Alex Sayi Wanawake wa jamii ya kihadzabe wamuomba Rais Dkt,Samia kulinusuru kabila hilo ili lisiweze kutoweka kutokana…
28 February 2024, 11:15 am
DC Kaminyoge atoa ufafanuzi changamoto ya sukari wilayani Maswa
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mh, Aswege Kaminyoge ametoa ufafanuzi kuhusu Changamoto ya Kupanda kwa bei ya Sukari na kutoa maelekezo ya Serikali kuhusu upatikanaji wa Bidhaa hiyo. Kaminyoge amesema hayo wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Maswa na …
25 February 2024, 6:29 pm
Takukuru Simiyu yaokoa zaidi ya shilingi milioni 70
Na Nicholaus Machunda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Simiyu imefanikiwa kuokoa fedha  zaidi ya shilingi milioni sabini zilizotaka kufanyiwa ubadhirifu katika Chuo cha Maafisa Tabibu wilayani  Maswa. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani …
25 February 2024, 6:14 pm
CHADEMA Simiyu yajipanga kuingia kwa kishindo uchaguzi serikali za mita…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo  Chadema Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa kimejipanga kuingia kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2024. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Simiyu  Musa …
18 February 2024, 3:43 pm
Baraza la madiwani laridhia kuvunjwa mamlaka ya mji mdogo Maswa
Na Nicholaus Machunda Baraza la Madiwani la Halmashauri ya  Wilaya ya Maswa kwa Kauli moja limeridhia kuvunjwa kwa Mamlaka ya Mji mdogo Maswa kwakushindwa kukidhi vigezo na Kuazimia kuanzisha Mchakato wa Kupata Halmashauri mbili.https://maswadc.go.tz/ Azimio hilo lilitolewa na Mkrugenzi Mtendaji …
8 February 2024, 8:50 pm
Zaidi ya watoto laki moja kupata chanjo ya surua, rubela Maswa
Watoto wenye  umri wa kuanzia miezi tisa hadi chini ya miezi hamsini na tisa kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela katika kampeni ya kitaifa ya siku nne. Na,Daniel Manyanga Zaidi ya Watoto Laki Moja walio na umri chini…
7 February 2024, 1:56 pm
DC Maswa atahadharisha wanaotorosha mazao ya nafaka
Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu Mhe  Aswege Kaminyoge amewatahadharisha Wafanyabiashara wa Mazao ya Nafaka utoroshaji na kukwepa kulipa Ushuru wa Mazao hayo. Mhe Kaminyoge amesema hayo katika kikao cha Wadau wa Kilimo na Mazao Mchanganyiko kilichofanyika Katika ukumbi wa …
5 February 2024, 11:58 am
Mkuu wa Wilaya akanusha taarifa za Nyumba 112 kobomoka kufuatia M…
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Kaminyoge amekanusha taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari  kuwa  nyumba 112 zilibomolewa na  mvua kubwa iliyonyesha Tarehe 27/01/ 2024 katika kata ya Mbaragane   na kusema kuwa   ni nyumba 5 tu zilizobomoka…
1 February 2024, 8:09 pm
DC  Kaminyoge: Elimu ya Kisheria iendelee kutolewa kwa Wananchi  Â
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Kaminyoge amewataka wadau wa Sheria kuendelea kutoa Elimu kwa Wananchi kwani wanawategemea sana katika Utoaji wa Haki. Hayo ameyasema katika kilele cha Wiki ya Sheria katika Viwanja vya Mahakama ya Wilaya …
1 February 2024, 2:15 pm
Meatu:wahadzabe waiomba Serikali kuwatengea makazi ya kudumu
Wahadzabe wapatao  (360 ) waishio kwenye kaya (46) kijiji cha Sungu Kata ya Mwabuzo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu hawana makazi rasmi. Na, Alex Sayi. Wahadzabe waishio pembezoni mwa pori la akiba la Makao lililopo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameiomba Serikali…
27 January 2024, 7:29 pm
Migogoro ya ardhi, mirathi yapatiwa mwarobaini Maswa
“Wananchi waitumie wiki na siku ya sheria kupata elimu ya kisheria ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima hasa migogoro ya ardhi na mirathi kwa sasa hairipotowi kwa wingi katika vyombo vya kutoa haki.” Na,Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa…
26 January 2024, 6:03 pm
Dalali, Nyerere jela miaka 30 kwa kubaka na kukutwa na dawa za kulevya
Dalali na Nyerere Wahukumiwa  Jela miaka 30 kila mmoja kwa makosa ya kubaka binti wa miaka 7 mwanafunzi wa darasa la kwanza  na kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi kilo 35 zikiwa zimehifadhiwa nyumbani. Na,Daniel Manyanga Watu wawili…
14 January 2024, 12:42 pm
22 wafariki kwa kuporomokewa na kifusi mgodini Simiyu
Tumefanikiwa kuokoa miili ishirini na mbili ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Ikinabushu kufuatia kuporomoka kwa duara wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji Na,Daniel Manyanga Watu ishirini na mbili wamefariki dunia kwa kufukiwa (kuporomokewa) na kifusi…
12 January 2024, 10:21 am
RC Nawanda toeni maji bure kwenye maeneo yaliyoathirika na magojwa ya mlipuko
Huduma za Maji Safi na Salama zinazotolewa na Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira mjini Maswa(MAUWASA) na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(RUWASA) zitolewe bure kwa wananchi katika maeneo yaliyoathirika na mlipuko. Na,Daniel Manyanga Mkuu wa mkoa…
9 January 2024, 1:17 pm
RC Nawanda apiga marufuku uuzaji wa vyakula mashuleni Simiyu
Marufuku uuzaji wa vyakula mashuleni pamoja na kula vyakula maeneo yenye mikusanyiko ya watu ili kujikinga na kuenea kwa mlipuko wa magonjwa ya Kuhara na Kutapika. Na,Daniel Manyanga Mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt.Yahaya Nawanda amepiga marufuku uuzaji wa vyakula…
26 December 2023, 6:16 pm
ugumu wa maisha chanzo kudorora kwa sikukuu za mwisho wa mwaka maswa
Sikukuu za mwisho wa mwaka zimepoteza mwamko kwa Wananchi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha ya kila hivyo kukosa fedha za ziada kwa ajili ya kugharamia sherehe hizo Na Alex Sayi-Simiyu Imebainishwa kuwa mabadiliko ya tabia ya Nchi na…