Sibuka FM

Recent posts

28 March 2024, 10:19 am

LAAC yaipongeza Maswa kwa usimamizi mzuri wa miradi

Kamati  ya  Kudumu  ya  Bunge  ya  Hesabu  za  Serikali  za  Mitaa –  LAAC   imeipongeza  Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  kwa  Usimamizi  Mzuri  wa  Fedha  za  Miradi  ya  Maendeleo zinazoletwa  Wilayani  hapo. Akitoa  Pongezi  hizo  mara  baada  ya  kutembelea  Jengo  la …

21 March 2024, 7:05 pm

TARURA kutumia zaidi bil. 4.1 ukarabati wa miundombinu Maswa

Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA)Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wanatarajia kuzifanyia marekebisho Barabara zenye mtandao wa Km,227.21 zilizoathiriwa na Mvua za msimu. Na. Alex Sayi Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imeendelea na matengenezo ya barabara…

13 March 2024, 11:35 am

DC  Maswa  aagiza viongozi, watendaji  kusikiliza kero za wananchi

Mkuu  wa  Wilaya ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mh  Aswege  Kaminyoge   ametoa  maagizo   kwa  watendaji na  viongozi  wengine  kusikiliza  kero za  za  wananchi  na kuzitafutia  ufumbuzi na  siyo  kusubiri viongozi  wa  ngazi  za  juu kuja  kusikiliza  kero  ambazo  zingetatuliwa na  viongozi …

13 March 2024, 10:44 am

Rais atoa zana za kilimo Maswa kuongeza uzalishaji wa pamba

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh Aswege Kaminyoge   amemshukuru   Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zana za kilimo kwa wakulima wa kata  ya  Senani  ili kumsaidia  mkulima  katika  kuongeza  tija  katika  zao la pamba. DC Kaminyoge  ametoa  shukrani  hizo  wakati  wa  kuzindua zana…

11 March 2024, 5:43 pm

Ongezeko la mamba mto Simiyu latishia maisha ya wananchi

Na,Alex Sayi-Simiyu Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania TAWA Kanda ya Ziwa, wabainisha kuwa  uwepo wa mtawanyiko wa Maji kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha kwa hivi sasa kumechangia ongezeko la Mamba mto Simiyu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi wanaoishi karibu na…

10 March 2024, 8:38 am

Red Cross: Mwanamke ni nguzo muhimu kwa taifa

Chama cha msalaba mwekundu mkoani Simiyu kimesherekea siku ya Wanawake duniani kwa kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Maswa katika kutambua na kuthamini mchango wa Wanawake katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo nchini. Na,Paul Yohana Katika kuenzi na kuthamini mchango…

1 March 2024, 8:07 pm

96 wahitimu mafunzo ya udereva Maswa

Jumla  ya  maafisa  usafirishaji 96  wamepatiwa  vyeti vya  udereva  na  leseni  za  uendeshaji  vyombo  vya  moto  ikiwemo  pikipiki  na  magari  madogo  baada  ya  kufuzu  mafunzo  ya  uendeshaji  wa  vyombo  hivyo. Akikadhi  vyeti  hivyo  na leseni , Mkuu  wa  Wilaya  ya …

1 March 2024, 5:03 pm

Wanawake jamii ya kihadzabe Meatu waomba msaada wa Rais Samia

Jamii ya kihadzabe  inayoishi pembezoni mwa pori la hifadhi Makao Wilayani Meatu Mkoani Simiyu yahofia kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na,Alex Sayi Wanawake wa jamii ya kihadzabe wamuomba Rais Dkt,Samia kulinusuru kabila hilo ili lisiweze kutoweka kutokana…

28 February 2024, 11:15 am

DC Kaminyoge atoa ufafanuzi  changamoto ya sukari wilayani Maswa

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mh,  Aswege  Kaminyoge  ametoa ufafanuzi  kuhusu  Changamoto  ya  Kupanda  kwa  bei  ya  Sukari   na  kutoa  maelekezo  ya  Serikali  kuhusu  upatikanaji  wa  Bidhaa  hiyo. Kaminyoge  amesema  hayo  wakati  akizungumza  na  Wafanyabiashara  wa  Maswa na …

25 February 2024, 6:29 pm

Takukuru Simiyu yaokoa zaidi ya shilingi milioni 70

Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa  mkoa  wa  Simiyu  imefanikiwa  kuokoa  fedha   zaidi  ya shilingi  milioni sabini  zilizotaka  kufanyiwa  ubadhirifu  katika  Chuo cha  Maafisa  Tabibu  wilayani  Maswa. Akitoa  taarifa  kwa  waandishi  wa  habari, Naibu Mkuu wa  Takukuru  mkoani …

25 February 2024, 6:14 pm

CHADEMA Simiyu yajipanga kuingia  kwa  kishindo uchaguzi serikali za mita…

Chama cha  Demokrasia  na  Maendeleo   Chadema  Mkoa  wa  Simiyu  kimesema  kuwa  kimejipanga  kuingia  kwa  kishindo  katika  uchaguzi  wa  serikali  za  mitaa utaofanyika  mwishoni  mwa  mwaka  huu  wa  2024. Kauli  hiyo  imetolewa  na  Mwenyekiti  wa  Chama  hicho  Mkoa  wa  Simiyu   Musa …

18 February 2024, 3:43 pm

Baraza la madiwani laridhia kuvunjwa mamlaka ya mji mdogo Maswa

Na Nicholaus Machunda Baraza  la  Madiwani  la  Halmashauri  ya   Wilaya ya  Maswa  kwa Kauli  moja  limeridhia  kuvunjwa  kwa  Mamlaka  ya  Mji  mdogo  Maswa  kwakushindwa  kukidhi  vigezo  na  Kuazimia  kuanzisha  Mchakato  wa  Kupata  Halmashauri  mbili.https://maswadc.go.tz/ Azimio  hilo  lilitolewa    na  Mkrugenzi  Mtendaji …

8 February 2024, 8:50 pm

Zaidi ya watoto laki moja kupata chanjo ya surua, rubela Maswa

Watoto wenye  umri wa kuanzia miezi tisa hadi chini ya miezi hamsini na tisa kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela katika kampeni ya kitaifa ya siku nne. Na,Daniel Manyanga Zaidi ya Watoto Laki Moja walio na umri chini…

7 February 2024, 1:56 pm

DC Maswa atahadharisha wanaotorosha  mazao ya nafaka

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mhe  Aswege  Kaminyoge  amewatahadharisha  Wafanyabiashara  wa  Mazao ya  Nafaka utoroshaji  na  kukwepa  kulipa  Ushuru  wa  Mazao  hayo. Mhe  Kaminyoge  amesema  hayo  katika  kikao  cha  Wadau  wa Kilimo  na  Mazao  Mchanganyiko  kilichofanyika  Katika  ukumbi  wa …

5 February 2024, 11:58 am

Mkuu wa Wilaya akanusha  taarifa  za  Nyumba  112  kobomoka kufuatia  M…

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa, Mkoani  Simiyu  Mhe,  Aswege  Kaminyoge  amekanusha  taarifa iliyotolewa  kwenye vyombo  vya  habari   kuwa   nyumba  112  zilibomolewa  na   mvua  kubwa  iliyonyesha  Tarehe  27/01/ 2024  katika  kata  ya  Mbaragane    na  kusema  kuwa    ni  nyumba  5  tu zilizobomoka…

1 February 2024, 2:15 pm

Meatu:wahadzabe waiomba Serikali kuwatengea makazi ya kudumu

Wahadzabe wapatao  (360 ) waishio kwenye kaya (46) kijiji cha Sungu Kata ya Mwabuzo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu hawana makazi rasmi. Na, Alex Sayi. Wahadzabe waishio pembezoni mwa pori la akiba la Makao lililopo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameiomba Serikali…

27 January 2024, 7:29 pm

Migogoro ya ardhi, mirathi yapatiwa mwarobaini Maswa

“Wananchi waitumie wiki na siku ya sheria kupata elimu ya kisheria ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima hasa migogoro ya ardhi na mirathi kwa sasa hairipotowi kwa wingi katika vyombo vya kutoa haki.” Na,Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa…

14 January 2024, 12:42 pm

22 wafariki kwa kuporomokewa na kifusi mgodini Simiyu

Tumefanikiwa kuokoa miili ishirini na mbili ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Ikinabushu kufuatia kuporomoka kwa duara wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji Na,Daniel Manyanga Watu ishirini na mbili  wamefariki dunia  kwa kufukiwa  (kuporomokewa) na kifusi…