Sibuka FM

Recent posts

13 August 2024, 10:47 pm

Mpina agawa vifaa vya TEHAMA jimboni

Nicholaus Machunda – Simiyu Mbunge  wa  Jimbo  la  Kisesa  lililopo  wilayani  Meatu  mkoani  Simiyu  Mhe. Luhaga  Joelson  Mpina  amekabidhi  vifaa  vya   TEHAMA  katika  shule  tisa  za  Sekondari jimboni  kwake  vyenye  thamani ya  Shilingi  Milioni  22. 5  ili  kusaidia  Utendaji  kazi  na …

12 August 2024, 7:02 pm

Mil.163.5 zatumika ujenzi bweni la wasichana Mwagala

Kufuatia uwepo wa changamoto zinazowakabili watoto wa kike Nchini za kushindwa kumaliza masomo yao kutokana na umbali wa Shule Serikali imendelea na Mpango wake wa kuhakikisha inajenga mabweni kwa ajili ya kuwanusuru watoto hao wa kike. Na,Alex Sayi. Kiongozi wa…

9 August 2024, 7:26 pm

Maswa wamshukuru Rais Samia kwa mradi wa maji Zanzui

Na Nicholaus Machunda Wananchi  wa  Vijiji  vya  Mabujiku, Malita  na  Zanzui  vilivyopo kata  ya   Zanzui, Wilayani   Maswa, Mkoani    Simiyu  wamemshukuru  Mh  Rais  Samia  Suluhu  Hasani  kwa  kutoa  Fedha  kwa  ajili  ya  Mradi  wa  maji  utakaonufaisha  Wakazi  zaidi  ya  Elfu Tisa.…

8 August 2024, 9:54 pm

Wakulima wafundwa kuhusu teknolojia za kisasa kuongeza uzalishaji

Na Nicholaus Machunda – Simiyu Wananchi  wa  Mikoa  ya  Shinyanga ,  Simiyu na  Mara wameaswa  kutumia  teknolojia ya kisasa ya  kilimo ili kujikwamua kiuchumi kwa kuongeza uzalishaji. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe, Kanali Evans Alfred Mtambi ambaye alikuwa  Mgeni rasmi katika  kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima maarufu kama Nanenane. Aidha Mh.…

1 August 2024, 5:13 pm

Katibu wa Amcos ya Kidema wilayani  Maswa matatani

Mwendesha Mashtaka wa Takukuru  ameeleza  kuwa  Mshtakiwa  alifikishwa Mahakamani hapo Januari 05, 2023 kwa  Makosa Mawili ya kutoa fedha kiasi Tsh. 1,228,000/= kwenye akaunti ya KIDEMA AMCOS na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi badala ya kulipa ushuru kwenye akaunti ya chama kikuu Cha…

19 July 2024, 5:29 pm

Madereva wazembe,vyombo vibovu hakuna atakae kuwa salama Simiyu

“Katika kuzuia na kupambana na madereva wazembe  wanaosababisha ajali zisizo za lazima zinazotokana na ubovu wa vyombo vya usafirishaji wanavyotumia jeshi la polisi mkoa wa Simiyu limekuja oparesheni la ukaguzi wa vyombo vya moto” Na,Daniel Manyanga Kamanda wa jeshi la…

19 July 2024, 2:27 pm

Shimo lakatisha maisha ya Anna, Martha Bariadi

“Usalama wa maisha ni jambo muhimu ili kutimiza malengo ya wananchi wetu nchi bila kuhakikisha usalama wa maeneo wanapotoka wananchi hatuwezi kufikia azma ya maendeleo ngazi ya jamii na taifa kwa ujumla” Na Daniel Manyanga Wanafunzi wawili waliotambulika kwa majina…

17 July 2024, 9:45 pm

Maswa:Wananchi wa Zanzui meno thelathini na mbili nje mradi wa maji safi

“Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za kijamii serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya sita imeendelea kutekeleza adhima  ya kumtua Mama ndoo kichwani kwa vitendo” Na, Daniel Manyanga   Zaidi  ya billion 1.5 zinatarajiwa kutumika kupeleka huduma ya…

15 July 2024, 9:10 pm

TVS 150 kupeleka kicheko kwa wateja wa maji mjini Maswa

“Katika kurahisisha wananchi wanapata maji safi na salama wakati wote mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Maswa MAUWASA imepokea vifaa vya usafiri ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji”   Na, Daniel Manyanga  Mamlaka ya maji safi na usafi wa…

11 July 2024, 4:49 pm

Nyongo amwaga maua kwa Dkt.Samia kwa utekelezaji miradi Maswa

“Ujenzi wa mabweni mashuleni watajwa kuwa mwarobaini wa kukabiliana na mimba mashuleni haswa kwa wanafunzi wa kike Ili waweze kutimiza malengo yao” Na, Daniel Manyanga  Naibu waziri  ofisi ya Rais mipango na uwekezaji ambaye pia ni mbunge wa jimbo la…

10 July 2024, 1:03 pm

Wananchi wilayani Meatu wachangia maji na ng’ombe

“Maji ni uhai kwa binadamu lakini wananchi wa wilaya ya Meatu wapo hatarini kupata magonjwa yatokanayo na kutumia maji  ya visima na mabwawa wao pamoja na mifugo ’’ Na,Daniel Manyanga Wakazi wa kata ya Mwandoya wilayani  Meatu, mkoani Simiyu wameiomba…

6 July 2024, 9:56 am

Tamasha la utalii, utamaduni Kanda ya Ziwa  lazinduliwa Simiyu

Kila kabila wana utamaduni wao, wasukuma wana utamaduni wao pia, ni vema kila kabila likaenzi utamaduni wake unasaidia katika Kulinda maadili na kukuza uchumi wa Taifa kupitia Utalii “Dunstan Kitandula ” Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tamasha  la Utali  na …

28 June 2024, 10:07 pm

MAUWASA yataja sababu za maji  kutokuwa angavu

Kutokana na wingi wa mvua zilizonyesha kwa mwaka huu imepelekea bwawa letu la New Sola kuwa na magugumaji mengi pamoja na shughuli za kibinadamu zinazofanyika zimesababisha maji kutokuwa angavu ” Kasimu Kado “ Mamlaka  ya  Maji  na  Usafi  wa  Mazingira …

28 June 2024, 10:43 am

Warina asali wateketeza madarasa manne kwa moto Bariadi

“Elimu ya kujikinga na majanga kwa jamii inahitajika sana ili kusaidia kupunguza matukio ya moto hasa kwenye taasisi za umma na binafsi matukio ambayo yanatokea kwenye jamii zetu lakini inakosekana elimu ya kuzuia hayo majanga.” Na, Daniel Manyanga  Watu wasiojulikana…

26 June 2024, 9:38 am

RUWASA wilayani Maswa kutumia billion 3.7 kumtua mama ndoo kichwani

“Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika maeneo ya vijijini utaongeza uchumi wa familia kutokana na kutumia muda mrefu kutafuta maji hivyo watajikita katika shughuli za kimaendeleo.” Na, Daniel Manyanga Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira…

24 June 2024, 12:33 pm

RC Kihongosi aagiza kurejeshwa  fedha  za mikopo ya vikundi Maswa

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe, Kenan Kihongozi ameahidi kuunda tume ya kufuatilia urejeshaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vya wanawake, vijana na makundi maalum inayotolewa na halmashauri ili watanzania wengine waweze kukopa. Mkuu  wa  Mkoa  wa  Simiyu  Mhe  …

17 June 2024, 1:21 pm

Maswa: Serikali yaombwa kuwekeza kwenye elimu jumuishi kwa watoto,vijana

“Elimu jumuishi kwa watoto na vijana itasaidia sana kupunguza wimbi la watoto mitaani na utegemezi wa ajira kutoka serikalini hivyo tusiogope kuwekeza kwenye elimu jumuishi.” Na Daniel Manyanga Wadau wa maendeleo kwa watoto na vijana wilayani Maswa mkoani Simiyu wameomba…