Sibuka FM

Recent posts

21 February 2022, 3:47 pm

Simiyu:serikali ya mkoa wa Simiyu kufufua viwanda viwili vya pamba

Na mwandishi,Daniel Manyanga,Simiyu Serikali mkoani Simiyu inatarajia kufufua viwanda viwili ambavyo vilijengwa wakati wa ukoloni lengo likiwa ni kuwawezesha wananchi hususani wakulima wa zao la pamba kupata huduma na soko la karibu. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu…

30 January 2022, 2:59 pm

kata saba wilayani bariadi kuunganishwa na miundombinu ya barabara

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi wameshauri  kuunganishwa kwa kata saba kwa njia ya barabara ili kuwapunguzia adha wananchi kutumia muda mrefu kufika makao makuu halmashauri hiyo yaliyopo Dutwa.Wameyasema hayo wakati wakipokea taarifa kwenye…

29 December 2021, 11:50 am

WILAYA YA MASWA YATAJWA KUONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI …

Imeelezwa  kuwa  wilaya  ya  maswa  inaongoza  kwa  maambukizi  ya Virusi  ya  Ukimwi (VVU)   Ikifuatiwa  na  Wilaya  Busega  katika  mkoa   wa  Simiyu. Hayo  yameelezwa  na  Mratibbu  wa  Ukimwi  mkoa  wa  Simiyu   Dr  Hamis   Kulemba  wakati   akizungumza  na  Radio   Sibuka.            Dr …

27 November 2021, 6:28 pm

Mkoa wa Simiyu wapunguza vifo vitokanavyo na Uzazi kwa Asilimia 50% …

Mkoa  wa  Simiyu  umefanikiwa  Kupunguza vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  kwa  Asilimia   50%   kwa  Robo  ya  mwezi   Julai,  August  na  mwezi  Septemba 2021  huku   Upatikanaji  wa  Dawa   Ukiongezeka  kutoka  Asilimia  70%  hadi  kufikia  Asilimia  90%. Hayo  yamesemwa  na   Mkuu wa  mkoa …

6 November 2021, 4:58 pm

TANROAD simamieni kwa ukaribu ujenzi wa miundombinu ya barabara

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemtaka wakala wa barabara TANROAD mkoani hapo kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi  mbalimbali ya ujenzi wa barabara ili kubaini mapungufu mapema na kuepusha gharama zaidi za ukarabati.…

27 October 2021, 2:51 pm

walimu wilaya ya itilima waomba kutatuliwa changamoto zao.

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga ,Simiyu Walimu wilayani Itilima mkoani Simiyu wameiomba serikali kuona umuhimu wa kutatua changamoto zao  ili kuongeza hali ya utedaji kazi. Wameyasema hayo kwenye semina ya kuwajengea uwezo kwenye  majukumu yao viongozi na wawakilishi wa shule…

19 October 2021, 3:38 pm

watu watatu wajeruhiwa na chui

Watu watatu wakazi wa Kijiji Mwabulimbu kata ya Mwan’gonoli tarafa ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu wamejeruhiwa na mnyama aina ya chui sehemu mbalimbali za miili yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu ACP Blasius…

19 October 2021, 3:25 pm

Wivu wa mapenzi wapelekea kumuua mke wake kwa kumkata mapanga.

Mwanamke mmoja aitwae  Pili Masonga mwenye  umri wa miaka 28,msukuma mkazi wa Kijiji cha Kulimi wilayani Maswa mkoani Simiyu ameuwawa na mme wake kwa kukatwa mapanga sehemu mbali mbali za mwili wake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi…