Sibuka FM

Recent posts

28 June 2023, 7:01 pm

Maswa: Wajane waaswa kuchangamkia fursa 10% mikopo ya halmashauri

Kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge aliyesimama akizungumza na baadhi ya akina mama wajane walioshiriki maadhimisho ya wajane wilayani hapo kwenye ukumbi wa mikutano Na Mwandishi,Alex.F.Sayi WANAWAKE Wajane wilayani Maswa mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia fursa za…

24 June 2023, 6:24 pm

Simiyu: Watu 37 mikononi mwa jeshi la polisi kwa makosa mbalimbali

Kwenye picha ni Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu ACP,Edith.M.Swebe akizungumza na Waandishi wa habari mkoani hapo Na mwandishi,Daniel Manyanga Jeshi la  Polisi mkoa wa Simiyu limewatia mbaroni Watu (Watuhumiwa) 37 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya Ulawiti,Wizi ,Uvunjaji…

22 June 2023, 7:13 pm

Maswa: RC aagiza hoja zote za CAG  zifungwe

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda ameuagiza uongozi wa wilaya ya Maswa kuhakikisha wanafunga hoja zote za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizotolewa baada ya kufanya ukaguzi wa fedha kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Dkt…

2 June 2023, 7:16 pm

Miradi mitatu iliyochunguzwa na Takukuru  Simiyu  yakutwa   na  dosari

Taasisi  ya  Kuzuia na  Kupambana  na Rushwa  mkoa  wa  Simiyu   imebaini  kuwa  miradi  3  kati  ya  14  yenye  thamani  ya  zaidi ya  bilioni 1 iliyofuatitiliwa   imebainika  kuwa   na  dosari  katika  utekelezaji  wake . Akitoa  taarifa  katika  kipindi  cha  robo  ya …

18 May 2023, 4:16 pm

Maswa: Zaidi ya wananchi laki mbili wamepata chanjo ya covid-19

Kwenye ni mkuu wa kitengo cha Usafi na Mazingira wilaya ya Maswa ,Budodi Walwa akimpatia chanjo ya Covid-19 mmoja wa wananchi wilayani hapo Na Alex.F.Sayi. Zaidi ya Wananchi laki  mbili Wilayani Maswa Mkoani Simiyu  wamepata chanjo ya Covid-19 kufuatia mpango…

18 May 2023, 7:08 am

Maswa: Elimu ya chanjo ya Uviko-19 bado inahitajika sana kwa jamii

Kwenye picha ni mmoja wa wananachi wa wilaya ya Maswa akionesha cheti chake baada ya kupata chanjo ya Covid-19 Na Alex.F.Sayi Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu, wamewashukuru wadau wa afya  Internews na Tadio katika mapambano ya ugonjwa wa Korona kwa kuwakumbusha…

28 April 2023, 7:33 am

DC Maswa awataka wananchi kupisha mradi wa umeme

Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi  Wilayani hapo  wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…

13 April 2023, 4:44 pm

Maswa: Vikundi 82 kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kurejesha mikopo.

NA,ALEX.F. SAYI Vikundi 82 vya Wanawake,Vijana na Walemavu vimeendelea kufikishwa Mahakamani na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa kushindwa kurejesha zaidi ya Sh.Mil,129.9 walizokopeshwa na Halmashauri hiyo kwa  mwaka wa fedha 2021/2022 Akizungumza na Sibuka Fm, Mwenyekiti wa halmashauri ya…

13 April 2023, 4:23 pm

Maswa:RUWASA Wananchi tumieni maji yanayotoka kwenye vyanzo vilivyoboreshwa.

Na,Alex.F.Sayi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Wilayani Maswa Mkoani Simiyu (RUWASA)imewaasa wakazi Wilayani hapa kutumia Maji kwenye vyanzo vilivyoboreshwa ili kuepuka magonjwa ya mlipuko. Akizungumza na Sibuka fm, Meneja wa RUWASA Wilayani Maswa Mhandisi Lucas Madaha amesema…

30 March 2023, 5:39 pm

Maswa: Wakazi wa mji wa Malampaka walalamikia mgao wa maji

Na Alex.F.Sayi Wakazi zaidi ya elfu ishirini na nne wa Mji wa Malampaka Wilayani Maswa Mkoani Simiyu,wanakabiliwa na adha  ya mgao wa maji unaotokana na upungufu wa maji safi na salama mjini hapo. Akizungumza na Sibuka fm redio Diwani wa…

25 March 2023, 9:26 pm

Waziri Mkuu Majaliwa aonya Matumizi ya Fedha mbichi kwenye Halmashauri

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kasimu Majaliwa amezionya Halmashauri zinazotumia Fedha za Makusanyo ya ndani kabla ya kuziweka kwenye Mifumo ya Kibenki. Mhe Majaliwa ametoa Onyo hilo leo mjini Bariadi wakati akiongea na baadhi ya Watumishi…