

23 June 2021, 9:55 am
Jamii Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeaswa kushirikiana na vyombo vya kisheria katika kuhakikisha inatokomeza ukatili kwa watoto. Kauli hiyo imetolewa na Afisa tarafa, tarafa ya Nughu Ndugu Venance Saria kwa niaba ya mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh, Aswege Kaminyoge …
28 May 2021, 11:30 am
Jumla ya vijiji Arobaini na tano vilivyopo Wilayani Maswa Mkoani Simiyu vinatarajiwa kunufaika na Mfuko wa maendeleo ya Jamii i – TASAF kwa awamu ya tatu kipindi cha Pili. Hayo yameelezwa na Mratibu wa TASAF wilaya ya Maswa Bi, Grace …
23 May 2021, 8:07 am
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu leo kimefanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ili kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Enock Yakobo aliyefariki februari 23 ,2021. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo msimamizi wa uchaguzi huo…
22 May 2021, 8:58 pm
Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja. Hayo yamesemwa na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ACP Richard Abwao wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari na kuongeza kuwa…
18 May 2021, 10:30 am
Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi mkoani Simiyu Mh, Mashimba Ndaki amekabidhi Viti na Meza kwa ajili ya wanafunzi vyenye thamani ya shilingi Milioni Kumi na nane ili kuondoa Changamoto ya Wanafunzi kukaa chini.…
13 May 2021, 10:25 am
Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amewataka Madiwani kusimamia Miradi na kufuatilia maendeleo inayotolewa na Serikali katika maeneo yao.. Kauli hiyo ameitoa wakati akitoa Salamu za Serikali katika kikao cha Baraza la Madiwani lililofanyika katika ukumbi wa …
11 May 2021, 1:24 pm
Wananchi wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameaswa kushirikiana na wataalamu wa Wanyama pori ili kudhibiti Uharibifu unaofanywa na wanyama katika maeneo yanayozungukwa na Hifadhi za wanyama. Wito huo umetolewa na mwakilishi wa Mkurugenzi idara ya Wanyama Pori kutoka Wizara ya Maliasili …
11 May 2021, 8:13 am
Meneja wa mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) Sofia Mziray amesema bado kuna changamoto ya utunzaji wa kumbukumbu dawa zenye madhara ya kulevya. Ameyasema hayo kwenye kikao kazi kilichowakutanisha watumishi wa sekta ya afya na mifugo ambacho kimefanyika kwa…
10 May 2021, 5:42 pm
Zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa kwenda shule watapatiwa kingatiba mkoani Simiyu lengo likiwa kuwakinga na magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo. Hayo yamesemwa na mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka mkoa wa Simiyu Dkt Ntugwa Nyorobi wakati…
27 April 2021, 8:47 pm
Idadi ya watalii wa ndani kutembelea na kujionea vivutio mbalimbali imeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka katiaka hifadhi ya taifa ya Serengeti iliyopo mkoani Mara licha uwepo wa changamoto wa janga la Covid-19 ambapo nchi mbalimbali ulimwengu zinakabiliana na janga hili.…
20 April 2021, 10:28 am
Zaidi ya Ng’ombe laki tatu wilayani Maswa mkoani Simiyu zinatarajiwa kuchanjwa ili kudhibiti Magonjwa ya Mifugo ikiwemo Ugonjwa wa Mapele ya ngozi ili kuboresha bidhaa ya ngozi na Ushindani wa Soko.. Akitoa taarifa kwa Mkuu wa wilaya ya Maswa Mh…
19 April 2021, 5:09 pm
Vifo vitokanavyo na Uzazi wilayani Maswa mkoani Simiyu vimepungua kutoka vifo 12 kwa mwaka 2018 hadi kufikia vifo 3 kwa mwaka 2020. Takwimu hizo zimetolewa na Mratibu wa Huduma ya Mama ya mtoto kutoka Hospitali ya wilaya ya Maswa Angella …
16 April 2021, 11:28 am
Uongozi wa mkoa wa Simiyu umetoa siku saba kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi na Ofisi ya Madini Mkoa wa Simiyu kupitia malalamiko na hoja zote za wachimbaji wadogo, wamiliki wa mashamba na wadau wengine katika mgodi wa…
16 April 2021, 11:09 am
Wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi mkoani Simiyu wameomba viongozi wa mkoa na wadau wote wa elimu kuwa kambi za kitaaluma ziwe endelevu kwa kuwa zina matokeo chanya kwa katika ufaulu wa wanafunzi na ili mkoa uendelee kufanya vizuri katika…
14 April 2021, 5:08 pm
Wachimbaji wadogo wanne wa dhahabu wafariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka kwa kuta wakati wakiendelea na uchimbaji wa dhahabu kwenye duara zao katika mgodi wa dhahabu na 2 uliopo Imalamate wilayani Busega mkoani Simiyu. Akizungumza na waandishi wa…
31 March 2021, 3:42 pm
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ,kamishina msaidizi wa polisi,Richard Abwa amesema kuwa tukio hilo limetokea mnamo majira ya saa 01:00 usiku wa kuamkia tarehe 29.03.2021 huko katika kitongoji cha cha…
31 March 2021, 12:55 pm
Zaidi ya shilingi Milioni 160 zimetolewa na serikali ya jamhuri ya muunga no wa tanzania kwa ajili ya ununuzi wa dira za maji ili kila mtu anayetumia alipe kwa kadri ya matumizi yake. Hayo yamesema na mkuu wa wilaya ya …
25 March 2021, 3:58 pm
Maelfu ya wananchi mkoani Simiyu wamejitokeza kwa wingi katika misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli ikiwa na lengo la kumuombea kwa MUNGU apumzike kwa amani milele. Akiongoza maelfu ya wananchi…
24 March 2021, 12:24 pm
Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati mh Dokta John Joseph Pombe Magufuli.. Wakiongea na Sibuka fm kwa nyakati tofauti wamesema kuwa Hayati Magufuli amefanya mambo mengi kwa…
Establishment
Radio SIBUKA FM was incorporated as SIBUKA FM LIMITED in April 2004 and went on air on 5th July 2004 from its base station at Maswa, now SIMIYU Region (formerly Shinyanga, Tanzania). TV SIBUKA went on air on November 18th, 2010 through Star Times Media Multiplex.
The Objective
To feature public-demanding TV programs that captivate the minds of viewers of all ages, fulfilling the needs of society at large. TV programs ranging from news, commercials, soaps, drama series, family entertaining movies, bongo movies, Western movie hits, sports, knowledge, gospel, documentaries, talk shows, reality TV, and music including Western country music, which target all market segments.
Region Coverage(Sibuka Fm)
Radio Sibuka FM hears about 95 percent of the Simiyu region through the frequency of 97.0 MHz from the Maswa district as well as neighboring areas of the Simiyu region while being listened to by more than Six hundred thousand people, according to a study conducted in 2016 by Star Times Media Multiplex
National Coverage (Sibuka Fm)
Radio SIBUKA FM coverage (approximately 75% of the mainland Tanzania territory) extends from its Maswa base station (97.0 Mhz) to ten (10) booster stations across the country. These include Shinyanga (104.9 Mhz), Bukoba ( 92.6 Mhz), Mwanza (95.5 Mhz), Dar es Salaam (94.5 Mhz), Kigoma ( 97.6 Mhz ), Mbeya ( 97.6 Mhz), Mtwara ( 96.2 Mhz), Dodoma (92.0 Mhz) and Arusha (104.6 Mhz ), and Geita (96.2 Mhz) and is listened to by more than 5 million people on the Tanzania Mainland, according to a study conducted in 2016 by Star Times Media Multiplex