Sibuka FM

Recent posts

16 September 2022, 11:10 am

TRA YATOA ELIMU KWA WAFANYA BIASHARA WILAYANI MASWA JUU YA ULIPAJI KOD…

Mkuu  wa  Wilaya  ya Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  amesema  kuwa   Wananchi  wanatakiwa  kuwa  Wazalendo  kwa  Kulipa  Kodi  ya Serikali kwa  Maendeleo  ya  Taifa. Mh  Kaminyoge  ametoa  wito  huo  kwenye  kikao kati  ya  Wafanyabiashara wilayani  hapo   na  Maafisa  wa  Mamlaka …

2 September 2022, 5:44 pm

WAFUGAJI WILAYANI MASWA WAASWA KUFUGA MIFUGO KISASA ZAIDI ILI KULET…

Mwenyekiti  wa  Halmashauri  ya  Wilaya  ya   Maswa   Mh   Simoni   Maige   Amewataka   Wafugaji  kufuga   Mifugo   kwa  Tija  ili  ilete   Manufaa  na  kuwakwamua   Kiuchumi.. Mh  Maige   ameyasema  hayo   wakati  wa  Uzinduzi  wa  Josho  la  kuogeshea   Mifugo  lililojengwa  katika  Kijiji  cha  Dodoma  kilichopo …

23 August 2022, 3:15 pm

MKUU WA WIKAYA YA MASWA ASWEGE KAMINYOGE AHESABIWA KATIKA ZOEZI L…

Mkuu  wa   Wilaya  ya   Maswa   Mh   Aswege   Kaminyoge   ameshiriki   Kuhesabiwa   katika   zoezi   la   Sensa   ya   Watu  na  Makazi   Mapema   hii   leo.. Mh Kaminyoge   amehesabiwa   nyumbani   kwake   Kitongoji   cha   Mwantoja  kata  ya   Nyalikungu  Wilayani   Maswa… Aidha   Mh   Kaminyoge   ametoa wito kwa …

23 August 2022, 3:00 pm

MBUNGE WA MASWA MASHARIKI STANSLAUS NYONGO AHESABIWA

Mbunge    wa  Jimbo  la  Maswa   Mashariki  Mh  Stanslaus   Nyongo   ameshiriki   kuhesabiwa  katika   Zoezi  la   Sensa  ya   Watu  na  Makazi  lililoanza  leo  Aug  23,  2022    

22 August 2022, 2:47 pm

WANANCHI WA IKUNGU WILAYANI MASWA WAJITOLEA KUJENGA ZAHANATI KUPUNGUZA VI…

Wananchi  wa  Kijiji  cha  Ikungu  kilichopo  kata  ya  Badi  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  wamejitolea  kujenga   Zahanati   ili  kupunguza  vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  na  kusaidia  upatikanaji  wa  Huduma  za  Afya  kijijini  hapo.. Wananchi   hao  wameamua  kuchangishana  michango  kwa  kila   Kaya  ili …

10 August 2022, 8:24 pm

Dc Maswa Aswege Kaminyoge- “Nitawasukuma ndani wote wanaohujumu Mi…

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani   Simiyu  Aswege  Enock  Kaminyoge   amesema   atawasweka  ndani  wote  wanaohujumu  Miundo mbinu  ya  Maji  huku  akianza   na   Viongozi  wa  Serikali  ya  kijiji… Hayo  ameyasema  leo  wakati   akiongea katika  mkutano   na   Watendaji  wa  Wakala wa  Maji …

6 August 2022, 7:44 pm

DC MASWA AOKOA ZAIDI YA LITA 30,000 ZA MAFUTA YA DIESELI ZILIZOTAKA …

Mkuu wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  ameliagiza  Jeshi  la Polisi  kuwasaka  na  kuwakamata  watu  wote  waliofanya  hujuma  za  kutaka  kuiba  Mafuta  aina  ya  Dieseli  katika  kituo  cha  Malampaka  ambapo  Ujenzi  wa  Reli  ya  Kisasa   SGR  Unaendelea. Mh  …

27 July 2022, 11:41 am

WANANCHI WILAYANI MASWA WAASWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI.

Balozi  wa  Maji nchini  Mrisho  Mpoto maarufu  kwa  Jina  la  Mjomba  Amewaasa  Wananchi Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  kutunza  vyanzo   vya  Maji  likiwemo  Bwawa  la  New  Sola   lililopo  katika   kijiji  cha  Zanzui  kata  ya  Zanzui.. Balozi  Mpoto  ametoa   nasaha  hizo alipotembelea …

25 July 2022, 6:51 pm

MASHIMBA NDAKI AWAONYA WATENDAJI WANAOTAFUNA FEDHA ZA MICHANGO YA MAE…

Waziri  wa  Mifugo  na  Uvuvi   na  Mbunge  wa  Jimbo  la  Maswa  Magharibi  Mh  Mashimba  Mashauri  Ndaki  amewaonya  watendaji  wa  vijiji  na  Kata  wanaotafuna  Fedha  za  Michango  ya   Maendeleo  ya  Wananchi wanazowachangisha  kisha  kutowasomea  Mapato  na  Matumizi na   kuwapa  Mrejesho. Waziri  …

25 July 2022, 6:21 pm

MASHIMBA NDAKI AAGIZA KUKAMATWA KWA WANUNUZI WOTE WA PAMBA WANAONUNU…

Waziri   wa  Mifugo  na  Uvuvi   na  Mbunge   wa  Jimbo  la  Maswa  Magharibi  Mh  Mashimba  Ndaki  ameagiza  kukamatwa  kwa   Wanunuzi   wa  Pamba  wanaonunua  chini  ya  Bei  Elekezi  ya  ya  Serikali… Mh   Ndaki  ametoa  maagizo   hayo  katika  mkutano  wa   Hadhara  wa  kusikiliza …

1 July 2022, 4:28 pm

WILAYA YA MASWA YAJA NA MKAKATI WA KUTAMBUA WAJAWAZITO WOTE ILI KUP…

Wilaya  ya  Maswa  imekuja  na  mkakati  wa  kuwa  Dafutari  maalumu  la  kuwatambua  akina  mama  wajawazito  wote   kwenye  maeneo  wanayoishi  ili  kuepusha  vifo  vya  mama  wajawazito… Hayo  yamesemwa  na  Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh  Aswege  Enock  Kaminyoge   wakati  akitoa  Elimu …

19 May 2022, 5:24 pm

RC KAFULILA AAGIZA KUONDOLEWA KWA MENEJA WA WAKALA WA MAJI NA USAFI…

Mkuu  wa  Mkoa  wa  Simiyu  Mh  David  Zacharia  Kafulila  ameagiza  kuondolewa  Meneja  wa  Wakala wa  Maji   na  Usafi  wa  Mazingira  vijijini   wilayani   Maswa   Lucas  Madaha  kwa  Kushindwa   kusimamia  miradi  ya   Maji  ambayo  imekuwa  ikitolewa  na  Serikali.. Mh  kafulila  ametoa   maagizo …

27 April 2022, 9:15 am

UPATIKANAJI WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU YA MASUALA YA…

Imeelezwa  kuwa  Wilaya  ya  Busega  iliyopo  Mkoani  Simiyu  imepunguza  kwa  kiasi  kikubwa  Vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  kutokana  na   Upatikanaji  wa  Vituo  vya  kutolea  Huduma   za  Afya  na  Elimu  ambayo  imekuwa  ikitolewa  kupitia  njia  mbalimbali  ikiwemo  Radio  Sibuka  Fm. Hayo  yamesemwa …

7 March 2022, 7:38 pm

Maswa:Mauwasa kutumia milioni 500 kusambaza maji safi na salama mjini Maswa.

Na mwandishi,Daniel Manyanga,Simiyu Mamlaka  ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa(Mauwasa) mkoani Simiyu imekusudia kutumia kiasi cha Sh 509,884,320 katika kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji  mjini  humo.  Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mauwasa, Mhandisi Nandi Mathias mbele…

25 February 2022, 12:30 pm

Katibu  Tawala  Wilaya  ya   Maswa  awaasa    viongozi  kuwatumikia …

Katibu   Tawala  wilaya  ya  Maswa  Agnes  Alex  amewataka  viongozi  waliopewa   Dhamana  ya  Kuwatumikia  wananchi     wanawatumikia  kikamilifu  ili  kukidhi  matarajio  yao. Katibu  Tawala    ameyasema  hayo  wakati  wa  Uzindunduzi  wa   Kikao  cha  Uraghbidhi  kilichofanyika  Februari  22, katika  Ukumbi  wa  Halmashauri  ya  Maswa …