Recent posts
12 November 2024, 4:52 pm
Maswa: Zaidi ya milioni 300 kunufaisha wanawake, vijana na walemavu
“Katika kupambana na umasikini nchini kupitia asilimia kumi ya mapato ya ndani ya halmashauri kundi la wanawake,vijana na watu wenye ulemavu wameendelea kunufaika kiuchumi.” Na, Daniel Manyanga Zaidi ya milioni miatatu zitokanazo na makusanyo ya ndani zimetangwa na halmashauri ya…
8 November 2024, 4:00 pm
Maswa:Kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira
“Wakati dunia inapambana na mabadiliko ya tabia nchi utokanao na uharibifu wa mazingira haswa katika matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira”. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya hekta laki nne hupotea nchini…
7 November 2024, 11:08 am
Maswa: Wanawake na Samia waaswa kutumia nishati safi yakupikia
Matumizi ya nishati safi yakupikia inatajwa kuwa ni mwarobaini wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira,huku ikitajwa kuwanufaisha wanawake Mkoani Simiyu kwakuokoa gharama,muda na maradhi yanayotokana na matumizi ya mkaa na kuni Na,Alex Sayi Wanawake na Samia mkoani Simiyu wameaswa kuunga…
7 November 2024, 9:23 am
Maswa:Wanawake wahimizwa kuchota mafedha Halmashauri
Wakazi wilayani Maswa Mkoani Simiyu mbioni kunufaika na mikopo ya 10% inayotengwa na Halmashauri kutoka kwenye mapato yake ya ndani baada ya Serikali kusitisha zoezi hilo toka April,2023/2024. Na,Alex Sayi Wanawake na Samia wilayani Maswa Mkoani Simiyu wamehamasishwa kuchangamkia fursa…
6 November 2024, 5:48 pm
Bilioni 440 kumtua mama ndoo kichwani Simiyu
“Uhai ni maji na wanasayansi wanasema robo tatu ya dunia na mwili wa binadamu ni maji kwa kulitambua hilo wananchi waipongeza serikali kwa miradi ya maji”. Na, Daniel Manyanga Wananchi mkoani Simiyu wanaopata maji kwa kusuasua kutokana na kukosa vyanzo …
24 October 2024, 11:04 pm
Wanafunzi Masela sekondari wafundwa elimu ukatili wa kijinsia
Jamii ya watanzania imeendelea kukumbushwa kuchukua tahadhari juu ya matukio ya ukatili wa kijinsia,kwakutoa taarifa nakuendelea kuwaelimisha watoto walio majumbani na wanafunzi ili kuwanusuru watoto hao na athari za ukatili wa kijinsia. Na,Alex Sayi. Wanafunzi wa shule ya sekondari Masela…
2 October 2024, 3:33 pm
Mchungaji awa mpiga ramli chonganishi kwa waumini wake Maswa
“Watu kwenda kanisani kuombewa kutokana na changamoto zao siyo dhambi lakini hatuwezi kuwafumbia macho baadhi ya watumishi wa Mungu ambao wanageuka kuwa wachonganishi kama na wao waganga wa kienyeji ambao wanatumia ramli chonganishi, twendeni tukafanye kazi ya Mungu na siyo vinginevyo.”…
29 September 2024, 10:16 am
RC Kihongosi: Chagueni viongozi wenye sifa uchaguzi serikali za mitaa
Niwaombe sana wananchi wa Maswa msikubali kuhamasishwa na watu wenye nia ovu ya kuvuruga na uchochezi ili kuharibu amani kwani amani ikipotea wa kwanza kuumia ni watoto, akina mama na wazee. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh Kenani Laban Kihongosi…
27 September 2024, 11:06 pm
Wananchi Maswa walalamikia umeme kufika maeneo ya mijini tu
“Unakuta meme umefika maeneo ya sentani tu halafu sisi tuliopo pembezoni hatupati tunaambiwa tu mradi unaishia hapo kwani sisi wa pembezoni hatustahili kupata huduma ya umeme?“ Wananchi wa kijiji cha Mwakabeya kata ya Ipililo Wilayani Maswa Wamelalamikia Huduma ya Umeme kufika kwenye Senta …
27 September 2024, 8:49 pm
RC Kihongosi aonya wanaotoa taarifa za taharuki kwa jamii
Wananchi wilayani Maswa zipuuzeni taarifa za watoto kutekwa na kutolewa figo, hao ni wapotoshaji tu wenye lengo la kuondoa amani ya taifa letu. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh Kenani Laban Kihongosi ameonya watu wanaoeneza taarifa za Taharuki za Watoto …
19 September 2024, 5:25 pm
Ripoti ya mkaguzi wa hesabu za ndani kuamua malipo ya wenyeviti Maswa
“Katika kuhakikisha madeni yote yanalipwa kwa wadai wote halmashauri ya wilaya ya Maswa imesubiria ripoti ya mkaguzi wa hesabu za ndani ili wenyeviti wapate haki zao”. Na, Daniel Manyanga Wajumbe wa mamlaka ya mji mdogo wa Maswa mkoani Simiyu ambao…
18 September 2024, 4:55 pm
RC Kihongosi amwaga fedha kwa bodaboda wa Nyashimo Busega
“Mchango wa maendeleo na kupunguza wimbi la ajira umekuwa mkubwa sana kwa Taifa kutokana na baadhi ya vijana kujiajiri wao wenyewe kupitia bodaboda hivyo kujiongezea kipato“. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Kenani Kihongosi ametoa kiasi cha fedha milioni…
16 September 2024, 7:00 pm
World Vision yawapiga msasa wajumbe wa kamati ya maafa Maswa
“Katika kukabiliana na maafa mbalimbali hapa nchini shirika lisilo la kiserikali la World vision limeendesha mafunzo kwa kamati za maafa ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji wakati ,kabla na baada ya maafa”. Na, Daniel Manyanga Kamati za Maafa za wilaya zimetakiwa…
9 September 2024, 5:48 pm
Meatu:Operesheni ya vyoo yawakimbiza wananchi uboreshaji wa daftari la kudumu
“Uboreshaji wa taarifa katika daftari la kudumu la wapiga kura ndiyo dira halisi na mwanzo wa kupata viongozi bora wanaochaguliwa na wananchi kwa maendeleo ya Taifa letu hivyo hatuwezi kuvumilia vitendo vya kuvuruga zoezi hilo”. Na, Daniel Manyanga Ikiwa leo…
4 September 2024, 4:08 pm
DC Maswa awaita wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
“Uboreshaji wa taarifa katika daftari la kudumu la wapiga kura ni msingi mmoja wapo wa kupata viongozi bora kwa mustakabali wa Taifa letu hivyo ni muhimu kushiriki zoezi hilo.” Na , Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu…
1 September 2024, 6:11 pm
Takukuru Simiyu ilivyorejesha Furaha ya Wananchi Wilayani Itilima
Na Nicholaus Machunda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Simiyu imefanikiwa kurejesha furaha ya Wananchi wa Wilaya Itilima baada ya kufuatilia Mradi wa Maji katika kijiji cha Ng’wang’wita uliotoa Huduma ya Maji kwa Mwezi mmoja tu …
29 August 2024, 8:13 pm
NEC: Maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata wala kiapo Maswa
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025,Tume huru ya taifa ya uchaguzi imeendelea na zoezi la utoaji wa mafunzo kwa maafisa waandikishaji ngazi ya jimbo,maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya jimbo na maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata…
26 August 2024, 5:19 pm
NEC yawaomba wananchi Simiyu kujitokeza kuboresha taarifa zao
Tume huru ya uchaguzi imewataka wananchi mkoani simiyu kujitokeza kwa wingi kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura, ili wawe na sifa za kushiriki uchaguzi ujao. Akizungumza katika Mkutano huo uliowakutanisha wadau mbalimbali mhe. Jaji mustaafu MBAROUK…
16 August 2024, 11:33 am
Wahandzabe Meatu wanavyotumia king’amuzi cha ndege pori kuipata asali
Wandzabe walia na Sheria za usimamizi wa wanyama pori na mapori tengefu kuwa zimechangia kuhafifisha usitawi wa jamii hizo na kusababisha hatari ya kutoweka kwa jamii hizo zinayoishi porini. Na,Alex Sayi. Jamii ya kihandzabe imebainisha kuwa kwa miaka nenda rudi…
15 August 2024, 10:40 am
Wananchi Maswa watoa Maoni kuhusu Dira ya Maendeleo 2025- 2050
Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wamepaza sauti zao na kutoa Maoni juu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025 – 2050 wakati wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya – DCC kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya …