Sibuka FM

Makala kuhusu Huduma za Afya

14 June 2025, 12:00 pm

Dr James Kayusi Mganga mfawidhi Zahanati ya Bulima Picha na Nicholaus Machunda

Huduma za Afya zilivyoboreshwa katika Zahanati ya Bulima iliyopo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya Wananchi Kuibua changamoto za Uhaba wa Watumishi, Masuala ya wagonjwa kuombwa Rushwa na Lugha chafu zilizokuwa zinatolewa na Watoa Huduma kwa Wagonjwa. Baadae Mwaka mmoja changamoto hizo zilitatuliwa

Na Nicholaus Machunda