Sibuka FMNewsAdakwa akijifanya mwanajeshi JWTZ Simiyu Adakwa akijifanya mwanajeshi JWTZ Simiyu 14 February 2025, 6:15 pm Picha ni Emmanuel Sulwa Mapana Mkazi wa Mtaa wa Sima Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu aliyekutwa na Sare za JWTZ zenye cheo cha Luteni. Hapa chini ni taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu iliyotolewa leo Feb, 14, 2025 Uhalifu. Share