Radio Tadio

uhalifu

22 October 2026, 13:14

Wataalamu Waonya Matumizi ya Miwani bila kupima

Dkt. Emmanuel amewashauri watu wenye matatizo ya macho kufika katika vituo vya afya kwa uchunguzi kabla ya kupewa miwani. Na Daniel Njau. Wananchi wametakiwa kuacha matumizi ya miwani ya urembo na miwani ya jua bila kufuata ushauri wa wataalamu  wa…

13 October 2025, 10:45

Wagonjwa wa mtoto wa jicho wapatiwa matibabu Chamwino

Baadhi ya wananchi wamegundulika kuwa na tatizo la mtoto wa jicho, jambo lililosababisha changamoto za kuona kwa baadhi yao. Picha na Mtandao. Kupitia kambi ya huduma za macho, wagonjwa hao wamepatiwa matibabu ikiwemo upasuaji mdogo, hatua iliyowawezesha kurejesha uwezo wao…

28 December 2023, 18:24

Epukeni kutenda uhalifu

Na mwandishi wetu,Songwe Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Thomas Jimbo Kuu la Mbeya wametakiwa kuzishinda dhamiri zao mbaya ili kutotenda matendo uhalifu katika jamii. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP…