Sibuka FM

Recent posts

21 March 2023, 12:47 pm

Wanaoishi maisha duni hatarini kupata ugonjwa wa kifua kikuu

Imeelezwa  kuwa  Jamii  inayoishi  katika  Makazi  Duni   ipo hatarini  kuugua  Ugonjwa   wa  Kifua  kikuu  kutokana  na  hali  zao za  Maisha   na  Mfumo  wa  Maisha  wanayoishi.. Hayo  yameelezwa  na   Mratibu  wa Mapambano  dhidi  ya  Kifua  Kikuu  kutoka Muungano  wa  Wadau wa…

14 March 2023, 5:20 pm

WAKAZI ZAIDI YA  120,000 WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU HAWAJACHANJA CHANJO YA CO…

Na Alex Faida Sayi. Halimashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu kupitia wataalamu wa Afya na waratibu wa chanjo Wilayani hapo imejipanga kuhakikisha inawafikia  wakazi zaidi ya   (120,000) ambao hawakuweza kuchanja chanjo ya  Covid 19,tangu zoezi hilo lilipoanza kutekelezwa Augost.21.2021,huku ikiwaasa…

4 March 2023, 10:18 am

Simiyu: DC Maswa apiga marufuku wanafunzi kufukuzwa shuleni

Na Alex Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ,Mhe.Aswege Kaminyoge ,amepiga marufuku tabia ya Wakuu wa shule wilayani hapo kuwafukuza wanafunzi kwa sababu  ya kutokukamilisha michango ya shule au kwa sababu zingine zile. Hayo ameyasema wakati akizungumza na…

17 February 2023, 1:48 pm

Simiyu: Askari aliyejeruhi mwanae afikishwa mahakamani

Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu mwenye no H.4178 PC Abati Benedicto Nkalango miaka (27) aliyempiga  mwanae  mwenye miaka( 7) mwanafunzi wa darasa la kwanza katika  shule ya Herbeth Gappa English Mediam  na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili…

17 February 2023, 12:01 pm

DC Itilima: Wizara tupeni Mamlaka ya Kusimamia Miradi.

Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu Mhe. Faidha Salim ameishauri Wizara ya Kilimo Kuzipa Halmashauri Mamlaka za Kusimamia Miradi Ili kuondokana na kusuasua Kwa Miradi inayotekelezwa na Wakandarasi. Mh Faidha ametoa Ushauri huo akiwa Mgeni Rasmi katika Hafla ya…

15 February 2023, 3:08 pm

Wananchi Waaswa kula mlo wenye Makundi 5 ya Chakula.

Wananchi Wilayani Maswa wameaswa kula chakula chenye Makundi Matano ya chakula Bora ili Kuimarisha Afya. Hayo yamesemwa mapema hii leo na Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Ndugu Abel Gyunda Wakati akitoa Elimu ya Masuala ya Lishe…

1 February 2023, 2:38 pm

Bilioni 4.2 Kutengeneza  na  Kukarabati  Barabara wilayani Maswa

Wakala  wa   Barabara  za  Mjini  na  Vijijini ( TARURA)  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  imepanga  kutumia   Zaidi  ya  Tsh, Bilioni 4.22  kwa  mwaka  wa  Fedha 2023/ 2024  katika   Kukarabati na  Kutengeneza  Mtandao  wa  Barabara.. Akiwasilisha  Taarifa  ya  Makadirio  hayo  ya  Fedha…

30 January 2023, 4:29 pm

Takukuru yatambulisha Programu ya ”TAKUKURU-Rafiki’

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Maswa Imezidua na Kutambalisha kwa Madiwani Programu ya TAKUKURU- RAFIKI ikiwa na lengo la Kuongeza Ushiriki wa Kila Mwananchi na Wadau mbalimbali katika kukabiliana na tatizo la Rushwa katika Utoaji wa Huduma…

14 January 2023, 4:54 pm

TARURA KUJENGA BARABARA ZA LAMI MJINI MASWA

Na mwandishi wetu,Samuel Mwanga. Wakala wa Barabara wa Mjini na Vijijini (TARURA)katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kujenga barabara za kiwango cha lami katika mitaa mitatu  mjini  Maswa katika mwaka wa fedha 2023/2024. Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa…

15 December 2022, 4:47 pm

Wilaya ya Maswa kuandikisha Watoto wa Darasa la Awali 13,000 kwa Mwaka…

Imeelezwa  kuwa  Wilaya  ya  Maswa   Mkoa  wa  Simiyu  hadi  kufikia   mwezi  Novemba , 2022  Imefanikiwa Kuandikisha  Watoto  wa  Darasa  la  Awali   Elfu  Saba (7000)  Sawa  na  Asilimia  Hamsini  na  Mbili (52%)  ya  Makisio  yote  ya  Watoto   Elfu  kumi  na  tatu…

29 November 2022, 6:24 pm

UZAZI WA MPANGO UNASAIDIA KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI.

Imeelezwa  kuwa   matumizi  ya  Uzazi  wa Mpango yanasaidia kupunguza  kwa   asilimia  kubwa  vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  kwa  akina  mama.. Hayo  yameelezwa  na  Dr  Boniface  Mabonesho  Mtaalamu  wa  Masuala  ya   Afya  ya  Uzazi  kutoka  Zahati  ya  Mwagala  iliyopo Wilayani  Maswa  Mkoani …

8 November 2022, 8:52 am

Mkurugenzi Halmashauri ya Meatu amwamuru Mkandarasi kubomoa Msingi aliojenga …

SIMIYU:    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka iliyopo wilayani  hapo  baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango. Aidha  Mkurugenzi…

29 October 2022, 6:23 pm

Mila Kandamizi Zatajwa kuchangia Vifo vitokanavyo na Uzazi Wilayani Mas…

Imeelezwa  kuwa  Mila  kandamizi  kwa   baadhi  ya  Jamii  ikiwemo  kabila  la  Wasukuma  zinachangia  vifo vitokanavyo  na  Uzazi  kwa  Wanaume Kushindwa  kushiriki  na Wenza  wao kikamilifu  katika  Huduma  ya  Afya  ya  Uzazi. Hayo  yameelezwa  na   Mkurugenzi  wa  Shirika  lisilo  la  kiserikali …

11 October 2022, 5:03 pm

Wananchi wa kijiji cha Zebeya Wamemshukuru Rais Samia kwa kutoa Fedha Za…

Wananchi  wa  kijiji   cha  Zebeya  kilichopo  Kata  ya  Senani  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  Wamemshukuru    Rais  wa  Jamhuri  ya  Muungano  wa   Tanzania   Mh  Samia  Suruhu  Hasani  kwa  kutoa  Fedha  Zaidi  ya  Shilingi  Bilioni  1.6    kwa  Ajili  ya  Ujenzi  na  Ukarabati  wa  …

26 September 2022, 11:47 am

MKAKATI WA KUTAMBUA MAMA WAJAWAZITO WOTE KUPITIA DATARI MAALUMU WALE…

Mkakati  wa  kutambua wajawazito Wilayani  Maswa  umeleta mabadiliko  makubwa ikiligaishwa  na  hapo  awali ambapo  wajawazito walikuwa hawatambuliki hali iliyokuwa inapelekea  baadhi yao kujifungua  majumbani na kuhatarisha  Maisha  yao.… Hayo  yamesemwa  na  Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh  Aswege  Kaminyoge   wakati …