Sibuka FM
Sibuka FM
16 July 2021, 1:37 pm
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh David Kafulila amewahakikishia wananchi wa Malampaka na mkoa wa Simiyu kutatua Kero zote zinazowakabili ili kuendana na kasi ya Rais wa awamu ya Sita Mh, Samia Suluhu Hasani. Mh, Kafulila amesema hayo wakati akizungumza …
15 July 2021, 12:35 pm
Mkuu wa mkoa wa simiyu Mh Davidi Zacharia Kafulila amemuagiza mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh ,  Aswege Kaminyoge Kufuatilia Changamoto ya mama wajawazito wanaoenda kujifungua katika Hospitali ya wilaya ya Maswa kutozwa Fedha. Maagizo hayo ameyatoa wakati wa Mkutano …
6 July 2021, 11:57 am
Mkoa wa Simiyu Umezindua Kampeni ya kuongeza Tija katika zao la Pamba ili kuwainua wakulima Kiuchumi. Kampeni hiyo imezinduliwa na Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda na kusema kuwa Serikali haiwezi kuamua Bei ya Pamba katika Soko la Dunia na …
24 June 2021, 10:05 am
Mkuu wa mkoa wa Simiyu  Mh David  Kafulila amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ya wilaya ya Maswa  kumsimamisha  kazi  mganga Mfawidhi wa  Zahati ya Senani  iliyopo kata ya Senani wilayani hapa   Ally Soud   kwa kusababisha  Kifo cha Mama na Mtoto …
23 June 2021, 10:15 am
Zaidi ya wakazi Laki moja wa Mji wa Maswa na vijiji jirani wamenufaika na Mradi wa Mtambo wa kutibu na Kusafisha Maji. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Maswa-MAUWASA  Mhandisi   Nandi Mathias …
23 June 2021, 9:55 am
Jamii Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeaswa kushirikiana na vyombo vya kisheria katika kuhakikisha inatokomeza ukatili kwa watoto. Kauli hiyo imetolewa na  Afisa tarafa, tarafa ya Nughu Ndugu Venance Saria kwa  niaba  ya mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh, Aswege Kaminyoge …
28 May 2021, 11:30 am
Jumla ya vijiji Arobaini na tano vilivyopo Wilayani Maswa Mkoani Simiyu vinatarajiwa kunufaika na Mfuko wa maendeleo ya Jamii i – TASAF kwa awamu ya tatu kipindi cha Pili. Hayo yameelezwa na Mratibu wa TASAF wilaya ya Maswa Bi, Grace …
23 May 2021, 8:07 am
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu leo kimefanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ili kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Enock Yakobo aliyefariki februari 23 ,2021. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo msimamizi wa uchaguzi huo…
22 May 2021, 8:58 pm
Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja. Hayo yamesemwa na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ACP Richard Abwao wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari na kuongeza kuwa…
18 May 2021, 10:30 am
Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi mkoani Simiyu Mh, Mashimba Ndaki amekabidhi Viti na Meza kwa ajili ya wanafunzi vyenye thamani ya shilingi Milioni Kumi na nane ili kuondoa Changamoto ya Wanafunzi kukaa chini.…
13 May 2021, 10:25 am
Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amewataka Madiwani kusimamia Miradi na kufuatilia maendeleo inayotolewa na Serikali katika maeneo yao.. Kauli hiyo ameitoa wakati akitoa Salamu za Serikali katika kikao cha Baraza la Madiwani lililofanyika katika ukumbi wa …
11 May 2021, 1:24 pm
Wananchi wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameaswa kushirikiana na wataalamu wa Wanyama pori ili kudhibiti Uharibifu unaofanywa na wanyama katika maeneo yanayozungukwa na Hifadhi za wanyama. Wito huo umetolewa na mwakilishi wa Mkurugenzi idara ya Wanyama Pori kutoka Wizara ya Maliasili …
11 May 2021, 8:13 am
Meneja wa mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) Sofia Mziray amesema bado kuna changamoto ya utunzaji wa kumbukumbu dawa zenye madhara ya kulevya. Ameyasema hayo kwenye kikao kazi kilichowakutanisha watumishi wa sekta ya afya na mifugo ambacho kimefanyika kwa…
10 May 2021, 5:42 pm
Zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa kwenda shule watapatiwa kingatiba mkoani Simiyu lengo likiwa kuwakinga na magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo. Hayo yamesemwa na mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka mkoa wa Simiyu Dkt Ntugwa Nyorobi wakati…
27 April 2021, 8:47 pm
Idadi ya watalii wa ndani kutembelea na kujionea vivutio mbalimbali imeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka katiaka hifadhi ya taifa ya Serengeti iliyopo mkoani Mara licha uwepo wa changamoto wa janga la Covid-19 ambapo nchi mbalimbali ulimwengu zinakabiliana na janga hili.…
20 April 2021, 10:28 am
Zaidi ya Ng’ombe laki tatu wilayani Maswa mkoani Simiyu zinatarajiwa kuchanjwa ili kudhibiti Magonjwa ya Mifugo ikiwemo Ugonjwa wa Mapele ya ngozi ili kuboresha bidhaa ya ngozi na Ushindani wa Soko.. Akitoa taarifa kwa Mkuu wa wilaya ya Maswa  Mh…
19 April 2021, 5:09 pm
Vifo vitokanavyo na Uzazi wilayani Maswa mkoani Simiyu vimepungua kutoka vifo 12 kwa mwaka 2018 hadi kufikia vifo 3 kwa mwaka 2020. Takwimu hizo zimetolewa na Mratibu wa Huduma ya Mama ya mtoto kutoka Hospitali ya wilaya ya Maswa Angella …
16 April 2021, 11:28 am
Uongozi wa mkoa wa Simiyu umetoa siku saba kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi na Ofisi ya Madini Mkoa wa Simiyu kupitia malalamiko na hoja zote za wachimbaji wadogo, wamiliki wa mashamba na wadau wengine katika mgodi wa…
16 April 2021, 11:09 am
Wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi mkoani Simiyu wameomba viongozi wa mkoa na wadau wote wa elimu kuwa kambi za kitaaluma ziwe endelevu kwa kuwa zina matokeo chanya kwa katika ufaulu wa wanafunzi na ili mkoa uendelee kufanya vizuri katika…
14 April 2021, 5:08 pm
Wachimbaji wadogo  wanne wa dhahabu wafariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka kwa kuta wakati wakiendelea na uchimbaji wa dhahabu kwenye duara zao katika mgodi wa dhahabu na 2 uliopo Imalamate wilayani Busega mkoani Simiyu. Akizungumza na waandishi wa…
Establishment Â
Radio SIBUKA FM was incorporated as SIBUKA FM LIMITED in April 2004 and went on air on 5th July 2004 from its base station at Maswa, now SIMIYU Region (formerly Shinyanga, Tanzania). TV SIBUKA went on air on November 18th, 2010 through Star Times Media Multiplex.
The Objective
To feature public-demanding TV programs that captivate the minds of viewers of all ages, fulfilling the needs of society at large. TV programs ranging from news, commercials, soaps, drama series, family entertaining movies, bongo movies, Western movie hits, sports, knowledge, gospel, documentaries, talk shows, reality TV, and music including Western country music, which target all market segments.Â
Region Coverage(Sibuka Fm)
 Radio Sibuka FM hears  about  95 percent of the Simiyu region through the frequency of  97.0 MHz from the Maswa district  as well as neighboring areas of the Simiyu region while being listened to by more than Six hundred thousand people, according  to a study conducted in 2016 by Star Times Media  Multiplex
National Coverage (Sibuka Fm)
Radio SIBUKA FM coverage (approximately 75% of the mainland Tanzania territory) extends from its Maswa base station (97.0 Mhz) to ten (10) booster stations across the country. These include Shinyanga (104.9 Mhz), Bukoba ( 92.6 Mhz), Mwanza (95.5 Mhz), Dar es Salaam (94.5 Mhz), Kigoma ( 97.6 Mhz ), Mbeya ( 97.6 Mhz), Mtwara ( 96.2 Mhz), Dodoma (92.0 Mhz) and Arusha (104.6 Mhz ), and Geita (96.2 Mhz) and is listened to by more than 5 million people on the Tanzania Mainland, according to a study conducted in 2016 by Star Times Media Multiplex