Sibuka FM
Sibuka FM
27 July 2022, 11:41 am
Balozi wa Maji nchini Mrisho Mpoto maarufu kwa Jina la Mjomba Amewaasa Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu kutunza vyanzo  vya Maji likiwemo Bwawa la New Sola  lililopo katika  kijiji cha Zanzui kata ya Zanzui.. Balozi Mpoto ametoa  nasaha hizo alipotembelea …
25 July 2022, 6:51 pm
Waziri wa Mifugo na Uvuvi  na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi Mh Mashimba Mashauri Ndaki amewaonya watendaji wa vijiji na Kata wanaotafuna Fedha za Michango ya  Maendeleo ya Wananchi wanazowachangisha kisha kutowasomea Mapato na Matumizi na  kuwapa Mrejesho. Waziri  …
25 July 2022, 6:21 pm
Waziri  wa Mifugo na Uvuvi  na Mbunge  wa Jimbo la Maswa Magharibi Mh Mashimba Ndaki ameagiza kukamatwa kwa  Wanunuzi  wa Pamba wanaonunua chini ya Bei Elekezi ya ya Serikali… Mh  Ndaki ametoa maagizo  hayo katika mkutano wa  Hadhara wa kusikiliza …
1 July 2022, 4:28 pm
Wilaya ya Maswa imekuja na mkakati wa kuwa Dafutari maalumu la kuwatambua akina mama wajawazito wote  kwenye maeneo wanayoishi ili kuepusha vifo vya mama wajawazito… Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh Aswege Enock Kaminyoge  wakati akitoa Elimu …
25 May 2022, 6:52 pm
Idara ya Afya katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, kwa kipindi cha miaka mitano imefanikiwa kupunguza vifo vya mama na mtoto kutoka 145 mwaka 2017 hadi 41 mwaka 2021. Hayo yamesema na Mratibu wa Huduma ya Afya ya Mama Baba …
19 May 2022, 5:24 pm
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh David Zacharia Kafulila ameagiza kuondolewa Meneja wa Wakala wa Maji  na Usafi wa Mazingira vijijini  wilayani  Maswa  Lucas Madaha kwa Kushindwa  kusimamia miradi ya  Maji ambayo imekuwa ikitolewa na Serikali.. Mh kafulila ametoa  maagizo …
27 April 2022, 9:15 am
Imeelezwa kuwa Wilaya ya Busega iliyopo Mkoani Simiyu imepunguza kwa kiasi kikubwa Vifo vitokanavyo na Uzazi kutokana na  Upatikanaji wa Vituo vya kutolea Huduma  za Afya na Elimu ambayo imekuwa ikitolewa kupitia njia mbalimbali ikiwemo Radio Sibuka Fm. Hayo yamesemwa …
28 March 2022, 10:19 am
Vijana wameaswa kujitokeza katika Vituo rafk vya kutolea huduma za Afya ili kupata Elimu zaidi kuhusu masuala mbalimbali ya Afya na Afya ya Uzazi. Hayo yamesemwa na Dr Godfrey Christopher kutoka Kituo cha Afya Muungano kilichopo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu…
21 March 2022, 8:18 pm
Wenyeviti wa vitongoji zaidi ya Arobaini wanaounda Mamlaka ya Mji mdogo Maswa wamegoma kushiriki zoezi la Uandikishaji wa anuani za Makazi kutokana na Kupunjwa Posho katika Zoezi la Uandikishaji wa Anuani za Makazi hivyo kupelekea kuomba Mwongozo wa Halmashauri kuhusu …
7 March 2022, 7:38 pm
Na mwandishi,Daniel Manyanga,Simiyu Mamlaka  ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa(Mauwasa) mkoani Simiyu imekusudia kutumia kiasi cha Sh 509,884,320 katika kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji  mjini  humo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mauwasa, Mhandisi Nandi Mathias mbele…
28 February 2022, 3:45 pm
Taasisi na wadau mbalimbali wa afya wameombwa kujitokeza kusaidia upatikanaji wa vifaa vya kulelea watoto njiti katika hospitali ya wilaya ya Maswa ili kupunguza vifo vya Watoto na kuiongezea hospitali hiyo uwezo wa kuwahudumia watoto wengi wanaohitaji huduma hiyo kwa…
25 February 2022, 5:50 pm
Serikali Mkoani Simiyu inatarajia kutumia zaidi ya shilingi Bilion 6 kujenga mabweni kwa ajili ya kuwanusuru na Mimba za Utotoni watoto wanaotoka kwenye kaya masikini wanaosoma Shule za Sekondari Mkoani hapa. Akizungumza na wakazi wa Wilayani Maswa Mkoani Simiyu kwenye…
25 February 2022, 12:30 pm
Katibu Tawala wilaya ya Maswa Agnes Alex amewataka viongozi waliopewa Dhamana ya Kuwatumikia wananchi wanawatumikia kikamilifu ili kukidhi matarajio yao. Katibu Tawala ameyasema hayo wakati wa Uzindunduzi wa Kikao cha Uraghbidhi kilichofanyika Februari 22, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Maswa …
25 February 2022, 12:08 pm
Shirika la Twaweza wakishirikiana na shirika la Kasodefo la Wilayani Maswa Mkoani Simiyu February 21 mwaka huu wamefanya kikao cha pamoja na waraghbishi toka kata 18. Huku kikao hicho kikilenga kufanyia tathmini ya awali ya shughuli za kiraghbishi zinazotekelezwa katika…
22 February 2022, 6:02 pm
Jumla ya Waraghabishi Thelathini na sita (36) kutoka kata 18 za wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepewa Mafunzo ya kuwawezesha kuibua changamoto na Vipaumbele vya Maendeleo kwenye maeneo ya vijiji vyao. Akizungumza na Sibuka Fm  Meneja Programu kutoka Shrika la …
21 February 2022, 3:47 pm
Na mwandishi,Daniel Manyanga,Simiyu Serikali mkoani Simiyu inatarajia kufufua viwanda viwili ambavyo vilijengwa wakati wa ukoloni lengo likiwa ni kuwawezesha wananchi hususani wakulima wa zao la pamba kupata huduma na soko la karibu. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu…
8 February 2022, 9:44 am
Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu imepokea jumla ya malalamiko 345 katika wiki ya sheria huku malalamiko ya utelekezwaji wa watoto yakiongoza yakifuatiwa na Migogoro ya Ardhi. Akitoa taarifa kwa mgeni rasimi, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya …
30 January 2022, 2:59 pm
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi wameshauri kuunganishwa kwa kata saba kwa njia ya barabara ili kuwapunguzia adha wananchi kutumia muda mrefu kufika makao makuu halmashauri hiyo yaliyopo Dutwa.Wameyasema hayo wakati wakipokea taarifa kwenye…
26 January 2022, 7:56 pm
Idadi ya akina mama wanaojifungulia kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeongezeka kutoka Asilimia 55 kwa Mwezi Januar -June, 2021 hadi kufikia Asilimia 96.4% kwa Mwezi Julai –Decemba, 2021 huku hamna kifo kitokanacho na Uzazi …
6 January 2022, 11:19 am
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Watu wawili wamepoteza maisha huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya kufunikwa na kifusi kwenye mgodi wa dhahabu wa Halawa no 2 uliopo halmashauri ya wilaya ya Bariadi . Akithibitisha kupokea miili na majeruhi wa tukio…
Establishment Â
Radio SIBUKA FM was incorporated as SIBUKA FM LIMITED in April 2004 and went on air on 5th July 2004 from its base station at Maswa, now SIMIYU Region (formerly Shinyanga, Tanzania). TV SIBUKA went on air on November 18th, 2010 through Star Times Media Multiplex.
The Objective
To feature public-demanding TV programs that captivate the minds of viewers of all ages, fulfilling the needs of society at large. TV programs ranging from news, commercials, soaps, drama series, family entertaining movies, bongo movies, Western movie hits, sports, knowledge, gospel, documentaries, talk shows, reality TV, and music including Western country music, which target all market segments.Â
Region Coverage(Sibuka Fm)
 Radio Sibuka FM hears  about  95 percent of the Simiyu region through the frequency of  97.0 MHz from the Maswa district  as well as neighboring areas of the Simiyu region while being listened to by more than Six hundred thousand people, according  to a study conducted in 2016 by Star Times Media  Multiplex
National Coverage (Sibuka Fm)
Radio SIBUKA FM coverage (approximately 75% of the mainland Tanzania territory) extends from its Maswa base station (97.0 Mhz) to ten (10) booster stations across the country. These include Shinyanga (104.9 Mhz), Bukoba ( 92.6 Mhz), Mwanza (95.5 Mhz), Dar es Salaam (94.5 Mhz), Kigoma ( 97.6 Mhz ), Mbeya ( 97.6 Mhz), Mtwara ( 96.2 Mhz), Dodoma (92.0 Mhz) and Arusha (104.6 Mhz ), and Geita (96.2 Mhz) and is listened to by more than 5 million people on the Tanzania Mainland, according to a study conducted in 2016 by Star Times Media Multiplex