Sibuka FM
Sibuka FM
22 June 2023, 7:13 pm
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda ameuagiza uongozi wa wilaya ya Maswa kuhakikisha wanafunga hoja zote za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizotolewa baada ya kufanya ukaguzi wa fedha kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Dkt…
22 June 2023, 6:50 pm
Na, Alex Sayi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Simiyu imesema kuwa tangu kuanzishwa kwa huduma ya mlango kwa mlipa kodi (Taxpayer Portal) imerahisisha upatikanaji wa namba ya mlipa kodi (TIN) kwa wananchi. Akizungumza na Sibuka Fm  Benjamini John Afisa Elimu…
22 June 2023, 2:15 pm
Kwenye picha  ni mkuu wa kitengo cha Usafi,Afya na Mazingira wilaya ya Maswa ,Budodi Walwa akimpatia chanjo ya Covid-19 mmoja wa wananchi wilayani hapo Na Alex.F.Sayi. Zaidi ya Wananchi Mia Tatu Wilayani Maswa Mkoani Simiyu  wamepata chanjo ya Covid-19 kufuatia mpango…
2 June 2023, 7:16 pm
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Simiyu  imebaini kuwa miradi 3 kati ya 14 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 1 iliyofuatitiliwa  imebainika kuwa  na dosari katika utekelezaji  wake . Akitoa taarifa katika kipindi cha robo ya …
22 May 2023, 12:30 pm
Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Maswa imeridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025. Akitoa taarifa kwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe, Aswege Kaminyoge amesema kuwa katika kutekeleza ilani ya …
18 May 2023, 4:16 pm
Kwenye ni mkuu wa kitengo cha Usafi na Mazingira wilaya ya Maswa ,Budodi Walwa akimpatia chanjo ya Covid-19 mmoja wa wananchi wilayani hapo Na Alex.F.Sayi. Zaidi ya Wananchi laki mbili Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wamepata chanjo ya Covid-19 kufuatia mpango…
18 May 2023, 7:08 am
Kwenye picha ni mmoja wa wananachi wa wilaya ya Maswa akionesha cheti chake baada ya kupata chanjo ya Covid-19 Na Alex.F.Sayi Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu, wamewashukuru wadau wa afya  Internews na Tadio katika mapambano ya ugonjwa wa Korona kwa kuwakumbusha…
6 May 2023, 8:32 am
Na Alex.F.Sayi UMOJA wa Mawakala wa Usafirishaji Stund Mpya iliyopo wilayani Maswa Mkoani Simiyu wameulalamikia uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa ubovu wa miundombinu katika stund hiyo licha ya kutozwa ushuru kwa kila gari inayoingia hapo. Akizungumza na Sibuka…
28 April 2023, 7:33 am
Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi Wilayani hapo wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…
20 April 2023, 9:34 am
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe Aswege Kaminyoge ametoa Maagizo kwa Wafugaji Wote kupeleka Mifugo yao kwenda kuchanja Sehemu ambazo zimeandaliwa na kijiji husika ili kujikinga na Magonjwa hatari ya Mifugo. Sauti ya DC Maswa Aswege kaminyoge kuhusu …
19 April 2023, 5:33 pm
Wananchi Mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia Fulsa za Udhamini wa Mikopo ya hadi Asilimia 80% katika Miradi inayochochea Ukuaji wa Uchumi wa Kijani katika Sekta ya Kilimo, Mifugo na Mazao ya Misitu. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mh,…
15 April 2023, 8:10 pm
Baba Paroko wa Parokia ya Malampaka Jimbo la Shinyanga Padre Renatus Mashenene ametoa msaada wa Baiskeli mbili za Walemavu kwa shule ya Msingi Malampaka iliyopo Wilayani Maswa Mkoani Simiyu ili kuunga mkono Jitihada za Serikali ya awamu ya sita ya …
13 April 2023, 4:44 pm
NA,ALEX.F. SAYI Vikundi 82 vya Wanawake,Vijana na Walemavu vimeendelea kufikishwa Mahakamani na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa kushindwa kurejesha zaidi ya Sh.Mil,129.9 walizokopeshwa na Halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Akizungumza na Sibuka Fm, Mwenyekiti wa halmashauri ya…
13 April 2023, 4:23 pm
Na,Alex.F.Sayi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Wilayani Maswa Mkoani Simiyu (RUWASA)imewaasa wakazi Wilayani hapa kutumia Maji kwenye vyanzo vilivyoboreshwa ili kuepuka magonjwa ya mlipuko. Akizungumza na Sibuka fm, Meneja wa RUWASA Wilayani Maswa Mhandisi Lucas Madaha amesema…
30 March 2023, 5:39 pm
Na Alex.F.Sayi Wakazi zaidi ya elfu ishirini na nne wa Mji wa Malampaka Wilayani Maswa Mkoani Simiyu,wanakabiliwa na adha ya mgao wa maji unaotokana na upungufu wa maji safi na salama mjini hapo. Akizungumza na Sibuka fm redio Diwani wa…
26 March 2023, 7:20 pm
Na Alex.F.Sayi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa Serikali ngazi ya Mkoa na Wilaya kutumia siku nne za kazi kuwahudumia wananchi hasa wa Vijijini na sio kukaa maofisini wakisubiria ziara za viongozi wa…
25 March 2023, 9:26 pm
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kasimu Majaliwa amezionya Halmashauri zinazotumia Fedha za Makusanyo ya ndani kabla ya kuziweka kwenye Mifumo ya Kibenki. Mhe Majaliwa ametoa Onyo hilo leo mjini Bariadi wakati akiongea na baadhi ya Watumishi…
24 March 2023, 7:49 pm
Na Alex.F.Sayi. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe.Kasimu Majaliwa Majaliwa amesema kuwa kwa siku wagonjwa (71)hufariki kwa Ugonjwa wa Kifua Kikuu kati ya vifo (25,800) vilivyogundulika  kwa mjibu wa Takwimu za mwaka 2022. Hayo ameyasema kwenye Maadhimisho ya siku…
24 March 2023, 8:04 am
Na Alex .F.Sayi Imeelezwa kuwa kati ya vifo miamoja Wilayani Maswa Mkoani Simiyu ,vifo Saba kati ya hivyo vinatokana na Magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza ikiwa ni sawa na asilimia (6.7%) ya vifo vyote Wilayani hapa. Hayo yamesemwa na Afisa Lishe…
21 March 2023, 12:47 pm
Imeelezwa kuwa Jamii inayoishi katika Makazi Duni ipo hatarini kuugua Ugonjwa wa Kifua kikuu kutokana na hali zao za Maisha na Mfumo wa Maisha wanayoishi.. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Mapambano dhidi ya Kifua Kikuu kutoka Muungano wa Wadau wa…
Establishment Â
Radio SIBUKA FM was incorporated as SIBUKA FM LIMITED in April 2004 and went on air on 5th July 2004 from its base station at Maswa, now SIMIYU Region (formerly Shinyanga, Tanzania). TV SIBUKA went on air on November 18th, 2010 through Star Times Media Multiplex.
The Objective
To feature public-demanding TV programs that captivate the minds of viewers of all ages, fulfilling the needs of society at large. TV programs ranging from news, commercials, soaps, drama series, family entertaining movies, bongo movies, Western movie hits, sports, knowledge, gospel, documentaries, talk shows, reality TV, and music including Western country music, which target all market segments.Â
Region Coverage(Sibuka Fm)
 Radio Sibuka FM hears  about  95 percent of the Simiyu region through the frequency of  97.0 MHz from the Maswa district  as well as neighboring areas of the Simiyu region while being listened to by more than Six hundred thousand people, according  to a study conducted in 2016 by Star Times Media  Multiplex
National Coverage (Sibuka Fm)
Radio SIBUKA FM coverage (approximately 75% of the mainland Tanzania territory) extends from its Maswa base station (97.0 Mhz) to ten (10) booster stations across the country. These include Shinyanga (104.9 Mhz), Bukoba ( 92.6 Mhz), Mwanza (95.5 Mhz), Dar es Salaam (94.5 Mhz), Kigoma ( 97.6 Mhz ), Mbeya ( 97.6 Mhz), Mtwara ( 96.2 Mhz), Dodoma (92.0 Mhz) and Arusha (104.6 Mhz ), and Geita (96.2 Mhz) and is listened to by more than 5 million people on the Tanzania Mainland, according to a study conducted in 2016 by Star Times Media Multiplex