Recent posts
18 May 2021, 10:30 am
Waziri Mashimba Ndaki akabidhi viti na Meza Shule za Sekondari kwenye…
Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi mkoani Simiyu Mh, Mashimba Ndaki amekabidhi Viti na Meza kwa ajili ya wanafunzi vyenye thamani ya shilingi Milioni Kumi na nane ili kuondoa Changamoto ya Wanafunzi kukaa chini.…
13 May 2021, 10:25 am
DC Maswa awaasa madiwani kusimamia miradi ya Maendeleo inayotolewa na S…
Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amewataka Madiwani kusimamia Miradi na kufuatilia maendeleo inayotolewa na Serikali katika maeneo yao.. Kauli hiyo ameitoa wakati akitoa Salamu za Serikali katika kikao cha Baraza la Madiwani lililofanyika katika ukumbi wa …
11 May 2021, 1:24 pm
Wananchi wapewa mbinu za kukabiliana na Tembo vamizi.
Wananchi wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameaswa kushirikiana na wataalamu wa Wanyama pori ili kudhibiti Uharibifu unaofanywa na wanyama katika maeneo yanayozungukwa na Hifadhi za wanyama. Wito huo umetolewa na mwakilishi wa Mkurugenzi idara ya Wanyama Pori kutoka Wizara ya Maliasili …
11 May 2021, 8:13 am
TMDA UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU BADO NI CHANGAMOTO
Meneja wa mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) Sofia Mziray amesema bado kuna changamoto ya utunzaji wa kumbukumbu dawa zenye madhara ya kulevya. Ameyasema hayo kwenye kikao kazi kilichowakutanisha watumishi wa sekta ya afya na mifugo ambacho kimefanyika kwa…
10 May 2021, 5:42 pm
ZAIDI YA WATOTO LAKI NNE KUPATIWA KINGATIBA SIMIYU
Zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa kwenda shule watapatiwa kingatiba mkoani Simiyu lengo likiwa kuwakinga na magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo. Hayo yamesemwa na mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka mkoa wa Simiyu Dkt Ntugwa Nyorobi wakati…
27 April 2021, 8:47 pm
MARA:UTALII WA NDANI WAONGEZA LICHA YA COVID-19
Idadi ya watalii wa ndani kutembelea na kujionea vivutio mbalimbali imeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka katiaka hifadhi ya taifa ya Serengeti iliyopo mkoani Mara licha uwepo wa changamoto wa janga la Covid-19 ambapo nchi mbalimbali ulimwengu zinakabiliana na janga hili.…
20 April 2021, 10:28 am
Zaidi ya Ng’ombe laki tatu kuchanjwa wilayani Maswa
Zaidi ya Ng’ombe laki tatu wilayani Maswa mkoani Simiyu zinatarajiwa kuchanjwa ili kudhibiti Magonjwa ya Mifugo ikiwemo Ugonjwa wa Mapele ya ngozi ili kuboresha bidhaa ya ngozi na Ushindani wa Soko.. Akitoa taarifa kwa Mkuu wa wilaya ya Maswa  Mh…
19 April 2021, 5:09 pm
Vifo vitokanavyo na Uzazi vyapungua Wilayani Maswa
Vifo vitokanavyo na Uzazi wilayani Maswa mkoani Simiyu vimepungua kutoka vifo 12 kwa mwaka 2018 hadi kufikia vifo 3 kwa mwaka 2020. Takwimu hizo zimetolewa na Mratibu wa Huduma ya Mama ya mtoto kutoka Hospitali ya wilaya ya Maswa Angella …
16 April 2021, 11:28 am
MALALAMIKO YA WACHIMBAJI WA MADINI, MGODI WA BULUMBAKA BARIADI YASHUGHULIKIWE.
Uongozi wa mkoa wa Simiyu umetoa siku saba kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi na Ofisi ya Madini Mkoa wa Simiyu kupitia malalamiko na hoja zote za wachimbaji wadogo, wamiliki wa mashamba na wadau wengine katika mgodi wa…
16 April 2021, 11:09 am
WANAFUNZI SIMIYU WAOMBA KAMBI ZA KITAALUMA ZIWE ENDELEVU
Wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi mkoani Simiyu wameomba viongozi wa mkoa na wadau wote wa elimu kuwa kambi za kitaaluma ziwe endelevu kwa kuwa zina matokeo chanya kwa katika ufaulu wa wanafunzi na ili mkoa uendelee kufanya vizuri katika…
14 April 2021, 5:08 pm
WANNE WAFA MGODINI,MMOJA AKIJERUHIWA
Wachimbaji wadogo  wanne wa dhahabu wafariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka kwa kuta wakati wakiendelea na uchimbaji wa dhahabu kwenye duara zao katika mgodi wa dhahabu na 2 uliopo Imalamate wilayani Busega mkoani Simiyu. Akizungumza na waandishi wa…
31 March 2021, 3:42 pm
RADI YAUA MTU MMOJA NA KUJERUHI MMOJA
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ,kamishina msaidizi wa polisi,Richard Abwa amesema kuwa tukio hilo limetokea  mnamo majira ya saa 01:00 usiku wa kuamkia tarehe 29.03.2021 huko katika kitongoji cha cha…
31 March 2021, 12:55 pm
Milioni 160 kununua Dira za maji Maswa
Zaidi ya shilingi Milioni 160 zimetolewa na serikali  ya jamhuri ya muunga no wa tanzania kwa  ajili ya ununuzi wa dira za maji ili kila mtu anayetumia  alipe kwa kadri ya matumizi yake. Hayo yamesema na mkuu wa wilaya  ya  …
25 March 2021, 3:58 pm
Maelfu ya wananchi Mkoa Simiyu wamlilia JPM
Maelfu ya wananchi mkoani Simiyu wamejitokeza kwa wingi katika misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli ikiwa na lengo la kumuombea kwa MUNGU apumzike kwa amani milele. Akiongoza maelfu ya wananchi…
24 March 2021, 12:24 pm
Wananchi wilayani maswa wamlilia Dr Magufuli
Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati mh Dokta John Joseph Pombe Magufuli.. Wakiongea na Sibuka fm kwa nyakati tofauti wamesema kuwa Hayati Magufuli amefanya mambo mengi kwa…