Pangani FM

COP 26: Hatua za muhimu bado Vitendawili.

15 November 2021, 3:02 pm

Kuanzia October 31 hadi Novemba 13 mwaka huuu Viongozi mbalimbali wamekutana nchini Scotland   Kushiriki katika Mkutano unaofahamika kwa jina COP ikiwa mwaka huu ni COP26.

Tanzania ikiwakilishwa na VIONGOZI mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

COP – ni kifupi cha maneno ya kiingereza (Conference of the Parties) – ukiwa ni mkutano wa mwaka ukiyaleta pamoja mataifa 197 duniani kuzungumzia kuhusu mabadiliko ya tabia nchi na namna gani nchi hizo na watu wote wamejipanga kukabiliana na mabadiliko hayo.

ili kujadili kwa kina juu ya yaliyojiri kwenye Mkutano huo mkubwa na muhimu juu ya mabadiliko ya tabianchi mwanahbari wetu Erick Malllya amezungumza na mtaalamu wa mabadiliko ya tabianchi Bwana Tajieli Urio.

Mtaalamu wa mabadiliko ya Tabia Nchi Bw. Tajiel Urioh

sikiliza hapa mazungumzo hayo.