Adakwa akijifanya mwanajeshi JWTZ Simiyu
14 February 2025, 6:15 pm
Picha ni Emmanuel Sulwa Mapana Mkazi wa Mtaa wa Sima Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu aliyekutwa na Sare za JWTZ zenye cheo cha Luteni.
Hapa chini ni taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu iliyotolewa leo Feb, 14, 2025